MTU ALIYE NYIKANI
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 345
- 457
Kiukweli ukisikiliza miziki ya Nigeria na South Africa iko so international kufananisha na hii ya kwetu ambayo ina-sound too Local, Mimi huwa nashangaaga hata diamonds anawezaje kupenya maana most of the songs he produced sounds Local ila kwa Nigeria kila artist hata awe mdogo vp mziki wake ni mkubwa sana sana na unasikilizika na kuuzika sehemu yoyote Duniani