nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,503
Na kuimba pia wanaimba sometimesNasikia Afrika mnaishi na Tembo mtaa mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuimba pia wanaimba sometimesNasikia Afrika mnaishi na Tembo mtaa mmoja
point.Kama umeishi au unafuatilia mambo utagundua Nigeria Ni maarufu sana duniani kama Zanzibar ilivyomaarufu kuliko Tanzania. Kuna baadhi ya raia wa mabara mengine wanajua afrika ni nchi sio bara wengine anaoijua afrika ukiwaambia wakutajie nchi zilizopo Africa lazima lazima Nigeria kwanza Sasa hiyo tu inawabeba wasanii wake achilia mbali uwezo walionao
watu sio tatizoNigeria kwao wapo zaidi ya mil 200 ,TZ tupo zaidi mil 60,hamuwezi kuwa sawa.
Sometimes ni tatizo sababu Nigeria wapo wengi na wanasapoti sana kazi za wasanii wao,kuanzia kwenye show mpaka kwenye digital platforms.watu sio tatizo
Kuna theory nyingi zinaweza kuelezea n kip kikonyuma ya pazia ktk hili.Leo nilikuwa napitia huko youtube nimegundua wasanii wetu watachukua muda mrefu kufikia level za wasanii wa naija. Kwanini tunaachwa mbali sana nyimbo za wasanii wetu ukizisikia zinavyolia kila mtaa unaweza usiamini utachokiona huko youtube viewers ni wachache sana
Wakati wenzetu ukisikia nyimbo inalia mtaani utakuta inatembea viewrs 50m wanakwama wapi wasanii wetu. Unaweza kukusanya video zote za msanii wa muda mrefu lakini utakuta hamfikii hata chipukizi wa naijeria aliyetoa nyimbo moja
Tunawasanii hawazidi saba ndio ambao tumekuwa tunawategemea ndo mana wanashindwa kushindana na msitu huu wanaijeria