MTU ALIYE NYIKANI
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 345
- 457
True but nchi ya kwanza kwa africa inayotajwa sana na wengi wanaiongelea ni south africa kisha nigeria, so yakwanza ni southKama umeishi au unafuatilia mambo utagundua Nigeria Ni maarufu sana duniani kama Zanzibar ilivyomaarufu kuliko Tanzania
Kuna baadhi ya raia wa mabara mengine wanajua afrika ni nchi sio bara wengine anaoijua afrika ukiwaambia wakutajie nchi zilizopo Africa lazima lazima Nigeria kwanza Sasa hiyo tu inawabeba wasanii wake achilia mbali uwezo walionao
Huwezi kutenganisha uwingi wa watu na ukubwa wa Industry ,Nigeria wametuzidi kila kitu mpaka fitina wanazijua,hatuwafikii hata nusu.Wasanii ambao anawakaribia wa Nigeria kwa EA ni Diamond na Sauti Sol basi.Wingi wa watu sio sababu mziki wetu unasikilizwa na afrika mashariki yote ndio mana nimekutajia wasanii wakuwahesabu wanaoweza kuleta ushindani kidogo na naijeria artist huko youtube
we migoma ya diamond unasema yote inasound local, jeje eneka kanyaga hallelujahKiukweli ukisikiliza miziki ya Nigeria na South Africa iko so international kufananisha na hii ya kwetu ambayo ina-sound too Local, Mimi huwa nashangaaga hata diamonds anawezaje kupenya maana most of the songs he produced sounds Local ila kwa Nigeria kila artist hata awe mdogo vp mziki wake ni mkubwa sana sana na unasikilizika na kuuzika sehemu yoyote Duniani
Lugha si lolote si chochote mbele ya muziki mzuri!Lugha ngeri inawabeba hata south wapo juu, watz wamekazana kiswahili lugha yetu haya sasa kinawafikisha wapi??zaid ya east wajiongeze
Mimi nafikiri tatizo linaweza likawa hapa kwenye media zetu nitajaribu kufuatilia media za naijeria nione wanashirikiana vipi na wasanii waoNIGERIA KUNA WINGI WA WATU NA PIA NAFIKIRI HAWANA BIFU ZA KIJINGA JINGA KAMA HUKU KWETU ETI MTU ANAPAMBANA KUPUNGUZA IDADI YA VIEWERS KWENYE YOU TUBE YA MWENZIE ILI AMSHUSHE KWA MAKUSUDI ILI AENDELEE KUWA JUU PEKE YAKE.
KINGINE NI MSANII KUA NA BIFU NA BAADHI YA VITUO VYA REDIO NA TV'S STESHENI, HII INAWAVUNJA MOYO WATANGAZAJI KUPROMOT NYIMBO ZA WASANII WETU KWASABABU LEO UNAMSAIDIA KESHO ANAKULETEA DHARAU.
CLOUDS ILIKUA INAJITAHIDI SANA KUHAMASISHA WATU WAWAPIGIE KURA WASANII WETU KWENYE TUZO KUBWA KUBWA ILA KWASASA HAWANA MWAMKO HUO TENA BAADA YA KUHITILAFIANA NA WASAFI.
Umemaliza kila kituLugha si lolote si chochote mbele ya muziki mzuri!
Hivi kuna mtu ataacha kuipenda Despacito kisa tu haelewi lugha iliyotumika?! Mtu unaachaje kwa mfano kuipenda We No Speak Americano, Lambada, El Pedron au Mi Gente?
Umesahau au hujawahi kusikia jinsi muziki wa DRC ulivyokuwa umekamata East Afrika wakati lugha wanayotumia hatuijui?
Na hapa ndipo harmonize anapohangaika kuimba kwa Kiingereza akidhani muziki wake utavuka mipaka kwa kutumia Kiinglishi!!!
Kuwa na beat kali, vocal za kutisha, amazing melody, na kwa ulimwengu wa YouTube, ongezea cinematic and/or dramatic video... hapo watu wala hawatajali unaimba nini!!!!
Sijawahi ku-pay attention kutaka kujua Childish Gambino anaimba nini kwenye This Is America but his dramatic and artistic video inanifanya ile ngoma niwe naingalia mara kwa mara!!
Ni Ngoma kali ila still local na ndio maana nguvu yao kubwa iko East Africa ila chukulia ngoma za wasanii wa Nigeria kama Wiz, Davi, Flavour na hata hawa wasanii wachanga kama akina Singah, fireboy, Joe boy Wurld, Simi utaona utofauti mkubwa katika Ubora wa miziki wanayofanya.we migoma ya diamond unasema yote inasound local, jeje eneka kanyaga hallelujah
ubora gani unaozungumzia wewe, ubora kwenye nini beat tungo au nini?Ni Ngoma kali ila still local na ndio maana nguvu yao kubwa iko East Africa ila chukulia ngoma za wasanii wa Nigeria kama Wiz, Davi, Flavour na hata hawa wasanii wachanga kama akina Singah, fireboy, Joe boy Wurld, Simi utaona utofauti mkubwa katika Ubora wa miziki wanayofanya.
kwa namna moja au nyingine inaweza kuwa lugha lakini muziki ni kama fumbo hivi na muziki mzuri unapendwa na unauzika wenyewe bila tabu mkuuLugha ngeri inawabeba hata south wapo juu, watz wamekazana kiswahili lugha yetu haya sasa kinawafikisha wapi??zaid ya east wajiongeze
Mi nahisi africa tunapokea tu kila nyimbo hata kama lugha hatuijui,mfano kihind hivi unajua movie za kihindi ulaya hakunaga labda wahind wahishio huko wao wenyewe na ukitaka kuprove hichi hata mitandaoni utaona mastaa maharufu wa kihindi mitandaoni followes asilimia kubwa ni kwao na africa ila angalia msanii mfano justin bieber unakuta mbaka india watu kibao wanamfollow ni kote ndio maana unakuta mtu anafollows mil 200 na zaid huo ni mfano tu hata ukibahatika kwenda ulaya utaona mwenyewe husikii nyimbo za kirugaruga labda zao wenyewekwa namna moja au nyingine inaweza kuwa lugha lakini muziki ni kama fumbo hivi na muziki mzuri unapendwa na unauzika wenyewe bila tabu mkuu
cheki ''JERUSALEMA'' imeimbwa sijui ni ki-afrikaan lakini ngoma imeblow kila mahali