Kwanini wasanii wanaijeria wanatukimbiza huko youtube

point.
 
watu sio tatizo
Sometimes ni tatizo sababu Nigeria wapo wengi na wanasapoti sana kazi za wasanii wao,kuanzia kwenye show mpaka kwenye digital platforms.

Tanzani hapa tupo active kidogo youtube sababu gharama yako bando,ila Sportfy,Itunea,Tidal huko Wanaija wanatukimbiza hatuwafikii hata robo na huko ndipo kuna hela.
Sisi TZ tushazoea kuteleza kwa Kidebwoy Mnyama na kupiga makelele ig.Digital platforms kama Mkito ishakufa,Mdundo inapumulia mashine.

Nigeria hata nusu ya mafanikio yao hatuja yafikia.
 
Kuna theory nyingi zinaweza kuelezea n kip kikonyuma ya pazia ktk hili.
Approach ya kwanza inaweza kuwa subscribers. I doubt kuna wabongo weng n wateja wakubwa wa mzk wa naigeria ila cna uhakika kama namba hyo iko sawa na wanaigeria ambao n wateja wa nyimbo zet.
Pili n language inatumika kumarket nyimbo zao yan debate ya kiswahili vs english .
Tatu inawaze kuwa social profile ya wasanii wa bongo, sio kama nawabeza ila weng ukiangalia aspect kama education utabain wana madaraja ya chini.
Mwisho kabisa n identity, hakuna namna bongo itatunishia misul naigeria wakat hao masuperstar wabongo wameanza kutembea ktk njia za naigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…