Kwanini Wasiomini Mungu Wameongezeka Sana Siku Za hivi Karibuni?

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,167
Reaction score
1,872
Wanabodini Habari..

Siku Za hivi Karibuni Hapa Jukwaani Na Hata Mitaani Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu.. Mnadhani Shida Ni Nini? Na Nini Kifanyike Kutukomboa Sisi Na Kizazi Chetu Toka Kwenye Hii Laana??

Je Kuna Motive Behind Ya Hili Swala? Au Waabudu Shetani (Lucifer) Wanapenyeza Agenda Zao Kwetu Mdogo Mdogo??

Karibuni Jukwaani..

Ni Hayo Tu

Diologist
Nyamisati NdaniNdani
Jumapili
 
Acha kuwaza hizo 666 ndo mambo hayohayo tunayoyasema ya hovyo msisingizie mambo yenu atheist ama agnostic!.
atheist na agnostic hawaamini hayo mambo yote yani si shetani si Mungu!, ukikutana na atheist ambae haamini uwepo wa Mungu halafu kashikiria hiyo minamba 666 ambayo nayo yameandikwa kwenye vitabu vyenu vya dini, basi huyo si atheist anaejitambua atakuwa ni zwazwa tu lisilojua liamini nini na kwanini!
 
Walikuwepo tangu siku nyingi tu sema wewe ndio umeanza kuwasikia.
 
Simple tu: wahuni wengi wanaojiita manabii na wachungaji wamechangia sana watu kuona huko wanaenda kutapeliwa pesa na mali zao
 
Wengi tumejitenga na Dini, lkn sio Mungu.

Hata Wavuta bangi, Wanamtumainia Mungu, Hujawai kuwasikia Wadudu wakisema Sir God ata blesa 😂
 
Mungu amepoteza mvuto,ni kama suruali za jeans za savco.Jambo linalopewa Kila sifa lakini linavyosifiwa navyo.Kwavyo ndipo udhaifu wake unapoanzia.MUNGU IMEKUWA KAMA SLOGAN.
 
Ni kwa sababu wanamtumikia shetani
 
Changamoto za maisha na kukosa njia sahihi za kiroho
 
Ukisikia usanii wa Mwamposa tapeli kama matapeli wengine lazima ujiulize kunani huko?
 
Tamaa ya mali na kusongwa na mambo ya dunia
 
Utapeli umekuwa mwingi haijulikani yupi ni mtumishi wa kweli na yupi ni wa uongo
 
Nanukuu: "Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu...."
Umeshuhudia Wapi e.g. hapa Tz au .....?? Je, unadhani Mungu anashida na hilo?? Mwache Mungu asimame na ajitetee mwenyewe.....(Zab 74:22)
 
Teknolojia ya habari na mawasiliano imekuwa sana.
So, watu wanasoma mitazamo kutoka kila Kona ya dunia na kutafakari kwa kina zaidi.

Leo hii nina kurani na hadithi za Bukhari kwenye simu, najionea tu mauchafu ya Muhammad the pedophile.. siwezi kufuata ule upuuzi.
Ila zamani nisingekuwa na access ya vyote hivi, ningeweza kusilimu tu blindly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…