Acha uongo hakuna Mwal anayepokea 1 million hapa Tz kutoka serikalini.
Kwa matokeo haya afu unamkuta anafundisha hisabati darasa la 5 mpaka.la 7. Huwa nasemaaaaa hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiMatokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F
Dah! Mkuu kumbe huliamini hili? Haulazimishwi lakini, endelea tu kuwadharau walimuSawa stori za vijiweni tushazizoea
Sio kwa NdalichakoMatokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F
Yako yaKo wapi au ndio F zoteMatokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F
Dogo nenda shule acha kufanya ligi na walimu.
HahahahaHuyo ni pimbi tu anayestahili kupuuzwa. Bifu lake lilianza pale tu alipoambiwa achangie kilo za mchele ili mdogo wake huko kijijini kwao Simiyu aweze kula shuleni.
Tangu hapo, basi ni kulialia tu humi jukwaani. Haka kapuuzi kanaonekana ni KALAFI sana kwenyr ishu inayoitwa CHAKULA.
Duh, ulivyoongea kwa kujiamini sasa, kama unajua unachoongea vileAcha uongo hakuna Mwal anayepokea 1 million hapa Tz kutoka serikalini.
Matokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F
Naona hao walimu unaowatetea hawakukufundisha tofauti ya R na LUnatakiwa ujue asilimia 90 ya watumishi wa umma ni walimu
Asilimia 90 ya watumishi wa umma wanaostafu na kuvuta Pesa ndefu ni walimu
Kwaiyo wingi wao ndio unafanya kila tarifa za masuala ya utaperi wa fedha uhusishe walimu sababu wapo wengi na wanavutaga pesa ndefu kidogo ukifananisha na kada nyingine
Walimu tunawachukulia pouwa ila mishahara yao ipo vizuri husani hawa wazee kinachowakaba hawana marupu rupu na hakuna rushwa
Mfano sasa hivi ajira za walimu zimesimama hakuna mwalimu anayechukua mshahara chini ya laki NNE kama wapo ni wachache sana ila wengi wanaanzi laki NNE , mpaka million uko hususani Hawa wazee wanaostafu wengi wamestafu mishahara yao million na kitu
Unaweza kuona kwanini wazee wa fursa mtaani wanacheza na walimu
Hujui chochote, wanapokea hadi milioni mbili
Dogo nenda shule acha kufanya ligi na walimu.
Ungekuwa unajua lugha mama yangu usingeona ajabu nakushauri tafuta marifa zaidi ili uwezw kujua kwanini huwa kuna makosa ya kimatamshi na kimaandishiNaona hao walimu unaowatetea hawakukufundisha tofauti ya R na L
Hahaaaa nilikua sijui kama jamii forum kuna watu wajinga hivi!!! Aiseeeee!!! Yani kwataarifa yako maticha wanavuta mpunga zaidi ya M+ uliza walimu wenye TGTS F G H nakuendelea tatizo linakuja hakuna marupu rupu ambayo kwa sasa hata idara nyingine hakuna !!!mimi niliacha ualimu Nikiwa TGTS E gross ilikua 940,000/ na nilikua nina miaka sita kazin ina maana ningekua huko hadi leo ningekua mbali sana !!! Watu wengi hawajui scale za walimu ziko vizuri tatizo serikali haiwapi allowance !!!! Kama transp,lunch,house allowance nk !!!Acha uongo hakuna Mwal anayepokea 1 million hapa Tz kutoka serikalini.
Mbona huyu amefaulu? Walimu wengi Wana D zisizozidi nne,ya civics, kiswahili,history na EnglishMatokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F
Punguza chuki kwa walimu Kijana ,yaan tokea uambiwe uchangie kg10 za mchele umekuwa na dhihaka sana kwa walimu ,lakini kwa haraka haraka itakuwa kuna mwalimu kakugongea mke wako ,kama sio mke kamla demu wako ndio maana kila kukicha ww na walimu.
Kitu kingine usipende kukariri kuwa kila mwalimu ni maskini au ana njaa ,mipango ni matumizi Kijana ,mshahara wa mwalimu ngazi ya chini kabisa kwa sasa ni laki NNE na mshahara wa juu kabisa ni m2 na vitoto ,so walimu wana mishahara mizuri tu na sio kama mnavyojiaminisha mtaani.
Siku izi walimu wanaendesha magari mazuri ,wamejenga nyumba nzuri ,wengine wana biashara kubwa,wanasomesha watoto wao shule nzuri na vitu kama ivyo.
Kitu kingine ambacho hujui ni kwamba kila mtumishi wa umma anakopa sana tu ni vile walimu ni wengi sana kwa idadi basi wanaonekana wao ndio wakopaji sana ila nakwambia tena hakuna mtumishi asiekopa ,wabunge wenyew wamejaa madeni sembuse mwalimu kukopa.
Pia elewa saiz hakuna mwalimu mzembe wa kutapeliwa saiz walimu ni wasomi tofaut na zamani .
Kuna MTU kadai walimu Mara nyingi wanakuwa wamefeli masomo yao ,narudia tena acheni kukariri saiz walimu ni wasomi grade 1-3 ,walimu kibao wana division one na two za kumwaga tu na vyuo vikuu, diploma ,certificate wametoka na GPA kubwa ,,so elewa kizazi hiki hakuna ualimu wa hisani unausotea.
Mwisho kabisa punguza hasira kwa walimu najua kuna sehem wamekugusa moja kwa moja ndio maana kila cku unawapondea tu,aliekuzid kakuzid tu ,we endelea kukomaa na mpunga huko majurubani ipo cku nawe utatoboa maana Nina uhakika una maisha ya shida sana ,ungekuwa na maisha mazuri sidhan kama ungekuwa na roho ya namna hiyo kwa walimu waliokufanya ujue hata kuandika hapa jf.
Kitu kingine mkumbushe kada ya elimu pekee ndio huwezi kuta mwalimu ana cheti cha degree ila hana cheti cha kidato cha sitaPunguza chuki kwa walimu Kijana ,yaan tokea uambiwe uchangie kg10 za mchele umekuwa na dhihaka sana kwa walimu ,lakini kwa haraka haraka itakuwa kuna mwalimu kakugongea mke wako ,kama sio mke kamla demu wako ndio maana kila kukicha ww na walimu.
Kitu kingine usipende kukariri kuwa kila mwalimu ni maskini au ana njaa ,mipango ni matumizi Kijana ,mshahara wa mwalimu ngazi ya chini kabisa kwa sasa ni laki NNE na mshahara wa juu kabisa ni m2 na vitoto ,so walimu wana mishahara mizuri tu na sio kama mnavyojiaminisha mtaani.
Siku izi walimu wanaendesha magari mazuri ,wamejenga nyumba nzuri ,wengine wana biashara kubwa,wanasomesha watoto wao shule nzuri na vitu kama ivyo.
Kitu kingine ambacho hujui ni kwamba kila mtumishi wa umma anakopa sana tu ni vile walimu ni wengi sana kwa idadi basi wanaonekana wao ndio wakopaji sana ila nakwambia tena hakuna mtumishi asiekopa ,wabunge wenyew wamejaa madeni sembuse mwalimu kukopa.
Pia elewa saiz hakuna mwalimu mzembe wa kutapeliwa saiz walimu ni wasomi tofaut na zamani .
Kuna MTU kadai walimu Mara nyingi wanakuwa wamefeli masomo yao ,narudia tena acheni kukariri saiz walimu ni wasomi grade 1-3 ,walimu kibao wana division one na two za kumwaga tu na vyuo vikuu, diploma ,certificate wametoka na GPA kubwa ,,so elewa kizazi hiki hakuna ualimu wa hisani unausotea.
Mwisho kabisa punguza hasira kwa walimu najua kuna sehem wamekugusa moja kwa moja ndio maana kila cku unawapondea tu,aliekuzid kakuzid tu ,we endelea kukomaa na mpunga huko majurubani ipo cku nawe utatoboa maana Nina uhakika una maisha ya shida sana ,ungekuwa na maisha mazuri sidhan kama ungekuwa na roho ya namna hiyo kwa walimu waliokufanya ujue hata kuandika hapa jf.
Unautani na sana sheria wewe wahasibu madaktari nk maana hayo ndio matokeo wanayoanzia ngazi ya certificate bila shida ila wakipata degree wananza jiita wakili wasomi nakidharau walimuMatokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F