REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Kiongozi ujitaji kujua sana hayo subilia use na kipato na familia na majukumu ndio utajua maana ukiwa huna kipato wala majukumu huwezi kuwaza kukopa na wala huwezi aminika🤣🤣🤣🤣🤣 hapa hakuna anaebisha kuwa waalimu wa sasa ndio wasomi nikweli.
lakini lengo langu kuleta mada hii nikutafta suruhisho ili kumkomboa mwalimu.
Maana hakuna ubishi kuwa takukuru inaongoza kukomboa fedha za waalimu , chanzo ni nini? Nakumbuka sio wte! Shida ninini wao ndo kuwa wahanga wakubwa? Wakati ndio wasomi wa shahada ya 1-3?
Wala sio dharau , nawapenda na nawaheshim hata BW YESU KRISTO alikuwa mwl. Sina ubishi, Rais ni mwl.
Tatizo kwanini mnaongoza kupigwa??? Tunataka tuwasaidie kuweni wawazi wana jf wawasaidie.
Asilimia 99 yanaosema walimu hivi walimu vile ni watu ambao vipato vyao havieleweki na hawaminiki sababu kama mtu mwenyewe kipato na mfanya biashara lazima ana kimeo chake sehemu sema ni siri yake kwaiyo akiona mwalimu anadaiwa atatulia tu hawezi toa maoni yoyote sababu naye ana kimeo chake