Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
- Thread starter
- #101
Niafadhari mimi mkulima ambae sihangaiki kuwazia watoto wangu watakula nini.
Kuliko ww mwl. wa Div4 unaepigwa kuanzia mikopo umiza na vijana ambao tuliishia darasa la ngubalu.
Ila wapigaji wanatugwaya.
Siku hizi ukitaka pesa ya haraka wewe Fungua kanisa harafu uwe na walimu kanisani MWAKO hata WATANO . Kisha wape kuwa wasaidizi wa baba mchungaji! Aaah hapo mzee nikupandisha volumes za sauti na kushusha michango kede kede.
No2. Fungua ofisi ya mkopo wa haraka harafu tembelea shule upate walimu hata wawili! Ujue wataletana tu.
No3. Anza kuuza vyombo kv masifuria 🤣🤣na hotport tembelea shuleni kukopesha aah utavuna
No4. Fungua baa nzuri weka watoto warembo wavalishe vichupi! Aah walimu lazima waweke ATM card kwenye mikopo umiza.
No5. Mikopo ya magari madogo! Hapo napo utakula salary za walimu kwa miaka10 hadi 20.
Tunawaambia mbadilike kwa sababu tunawapenda. Tunawasamini
Upo namba ngapi hapa mwl. Wa R na L?