Kwanini Wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?

Waalimu =walimu... Kajifunze kuandika vizuri Kwa hao walimu alafu urudi hapa na kejeli

Rigi = ligi (league)
Suruhisho = suluhisho
anaebisha = anayebisha
ndo = ndiyo
nawaheshim = nawaheshimu
nikutafta = ni kutafuta
waalim = walimu
nijanga = ni janga
farm4 = form 4/four/kidato cha nne
mjadara = mjadala

Kazi kweli kweli!
 
Sawa nimejifunza ! Kwanini Walimu ndo wanaongoza kupigwa?

Nahitaji sasa zile kilo zangu 10 za mchele wa huko kwenu Simiyu! Umenisumbua sana mimi Mwalimu wako wa "farm4" kurekebisha hayo makosa yako ya kiuandishi.
 
'Rigi!!' Ndio mana unawasema walimu
 
Acha uongo hakuna Mwal anayepokea 1 million hapa Tz kutoka serikalini.
Mama yangu mdogo,I mean mke mdogo wa dingi,amestaafu mwaka 2018 akiwa anapokea mshara wa 1,172,000/- hadi anastaafu..na amekula 89ml alipostaafu,tena kiwango chake cha elim ni form 4 na kwenye ualim ana cheti tu sio diploma

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Acheni kuwabeza walimu jamani, wanakipambania sana hiki chama chetu chakavu kipindi cha uchaguzi..
 
Matokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F
Mkuu una ugomvi na "mwalimu mkuu". Hapendi kudhihakiwa[emoji23]
 
Matokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F

Kupitia matunda ya matokeo haya umejua kuandika hata kuweza kuja kuwakosoa hapa.

Walimu ni daraja, kazi yao ni kazi nzuri sana na yapaswa kuheshimiwa maana wana mchango mkubwa sana.

#Heshima kwa mwalimu
 
Kanuni ya fedha ni kwamba zikishikwa nyingi kwa wakati mmoja na mtu ambaye alikuwa ni fukara na hajawahi kushika fedha nyingi, ni lazima watu wengi wajue kwani ataweweseka. Waalim wengi wanaangukia kwenye hili kundi. Wanapopata kiinnua mgongo cha fedha nyingi kwa wakati mmoja wanaweweseka na kutoa mwanya kujulikana na matapeli kuwawekea mtego.
 
Jifunze kutofautisha "l" na "r", kwa mwandiko wako wewe ulikuwa toto tundu ukaishia kulamba ziro lawama unawaangushia walimu.
 
Kwa iyo pamoja na kuelimika kwako hujaweza kutofautisha hayo matumizi?
 
Rigi = ligi (league)
Suruhisho = suluhisho
anaebisha = anayebisha
ndo = ndiyo
nawaheshim = nawaheshimu
nikutafta = ni kutafuta
waalim = walimu
nijanga = ni janga
farm4 = form 4/four/kidato cha nne
mjadara = mjadala

Kazi kweli kweli!
Ubarikiwe mkuu
 
Kama ujui tulia hapa ujue na ujifunze nanujue ndio nakwambia siyo milioni kavu ni milioni na taka taka furani wapo hao wengi tu

Kweli hilo halina ubishi! Nasiwalimu wte kwamba wananjaa natabia za ajabu hapana!
Nibaadhi tu wachache wanaohalibu heshima ya sekta hii muhimu Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…