Kwanini wasukuma huwa hawalii misibani tofauti na majirani zao wajita na wahaya?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Wiki iliyopita nilikuwa Magu Masanza kona kuna msiba mzito,baba wa mji aneaga dunia,Nzengo yote iko pale marehemu ameacha mke na watoto na wajukuu.

Kilichonishangaza msiba mzima waliokuwa wakilia hawazidi wanne,tena hata katika nyakati ngumu za kuaga na kuzika.,Mtoto wa marehemu yuko bize na simu

Miezi michache nikiwa mwanza nilihudhuria misiba miwili ya wahaya na wajita,tena waliokufa ni mtoto mwingine kijana,kilini pale,hatari,wakina mama walikuwa wanalia kama wanechapwa au kumwagiwa tindikali

Magufuli angekuwa mhaya kipindi cha maziko yake wakina mama wangelua hadi kuzimia

Kulia ni utamadun??i,hata mkoani Mbeya ,wanyakyusa wakimlilia moendwa wao hata kama humjui marehemu unaweza kujikuta unalia

Hapanaongelea vijijini,mjini huko najua huwa hamlii,na mkilia mnawaza maisha bila huyo marehemu kama alikuwa ndio tegenezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…