Kwanini Wasukuma wanalipenda sana hili jina?

No research no right to speak.

Nimefanya research yangu kwa muda mrefu nimegundua kwamba Wasukuma wanalipenda sana jina la Jose. Ukienda Mwanza na Shinyanga utakutana na akina mama jose na Jose wengi saana.

Katika wasukuma 10 basi wakuma 3-4 wanaitwa Jose. Hapa mtaani niliko sio usukumani ila nawafahamu akina Jose 3.

Hebu wasukuma niambie Kuna siri gani kwenye hili jina?

Another interesting fact, kaskazini karibia kila familia kuna jina Angel/Angela na Beatrice.
Eg. Kwetu kuna Beatrice 2 na Angel 3
Joseph mfanyakazi. Wasukuma watu ea kazikazi.

Agayaaa Bhebhe nang'ho
 
No research no right to speak.

Nimefanya research yangu kwa muda mrefu nimegundua kwamba Wasukuma wanalipenda sana jina la Jose. Ukienda Mwanza na Shinyanga utakutana na akina mama jose na Jose wengi saana.

Katika wasukuma 10 basi wakuma 3-4 wanaitwa Jose. Hapa mtaani niliko sio usukumani ila nawafahamu akina Jose 3.

Hebu wasukuma niambie Kuna siri gani kwenye hili jina?

Another interesting fact, kaskazini karibia kila familia kuna jina Angel/Angela na Beatrice.
Eg. Kwetu kuna Beatrice 2 na Angel 3
Joseph Pombe
Joseph Musukuma
 
Back
Top Bottom