MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Sio tatizo, kwenye hesabu tulijifunza topic ya errors (+-1) unapozungumza na mtanzania jambo lolote linalohusu muda ujao inabidi u +1 katika muda mtakaokubaliana, mfano mzuri ni haya matamko ya serikali (haya inabidi uongeze miaka 2 kutoka siku ya tamko) treni ya SGR itaanza kufanya kazi oktoba 2022 hapo jua inazungumziwa oktoba 2024, bwawa la nyerere kuanza uzalishaji agosti 2023 hapo jua ni agosti 2025. Etc