All for love
Member
- Mar 21, 2023
- 99
- 278
ni uvivu na kujiendekeza kufanya mambo kwa mazoea bila kufuata utaratibu.Kiuhalisia hakuna kitu chochote cha maana ambacho huyo mtu anakua anafanya mpaka achelewe. Ni basi tuu sijui ni uvivu au nini mi sielewi