MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Umenena Kweli kbsa mkuuTatizo letu tunaridhika mapema mno. Mtanzania akishakuwa na uhakika wa kula mlo wa siku husika amemaliza kazi , kesho ni mbele kwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!Wengi hawana usafiri bongo, miundo mbinu mibovu, maeneo wanayokaa wabongo wengi ni chokoromageni hayo ni baadhi ya matatizo makubwa mengine watajazia... halafu mtoa mada acha ushamba na uzumbukuku utafikiri ulizaliwa ulaya.. kwani ulizaliwa ndani ya muda?
Tunakubaliana kabisa, jamani eeh kesho tukutane saa tatu kamili asubuhi. Watu wote wanaitikia "Sawa, saa tatu imekaa vizuri kabisa!"
Wewe unawahi saa tatu kasoro dakika 5 unafika eneo la tukio unakuta hakuna mtu hata mmoja. Unaanza kusubiri... saa tatu kamili, saa tatu na dakika 10, saa tatu na nusu.... saa nne!
Ndio watu wanaanza kujitokeza mmoja mmoja huku ikijichekesha chekesha "Ooh unajua bana mambo mengi asubuhi..." Sasa si mngesema tukutane saa nane?
Hivi kweli Waafrika tutaweza mambo serious kama swala la muda tu linatushinda!
Kwani wakati tunakubaliana tukutane saa 3 wewe hukujua kwamba huna usafiri? Kwanini usiseme tukutane saa sita?Wengi hawana usafiri bongo, miundo mbinu mibovu, maeneo wanayokaa wabongo wengi ni chokoromageni hayo ni baadhi ya matatizo makubwa mengine watajazia...
Kiuhalisia hakuna kitu chochote cha maana ambacho huyo mtu anakua anafanya mpaka achelewe. Ni basi tuu sijui ni uvivu au nini mi sielewikwenda na muda ni kitu ambacho ngozi nyeusi imetushinda wengi na hii ni mbaya sana. Na hapo mtu alikuwa na taarifa wiki kabla ili aweze kupangilia ratiba zake, sijui angeshtukizwa ingekuaje.
Hakikisha hao watu hupigi nao dili ya pwesaTunakubaliana kabisa, jamani eeh kesho tukutane saa tatu kamili asubuhi. Watu wote wanaitikia "Sawa, saa tatu imekaa vizuri kabisa!"
Wewe unawahi saa tatu kasoro dakika 5 unafika eneo la tukio unakuta hakuna mtu hata mmoja. Unaanza kusubiri... saa tatu kamili, saa tatu na dakika 10, saa tatu na nusu.... saa nne!
Ndio watu wanaanza kujitokeza mmoja mmoja huku ikijichekesha chekesha "Ooh unajua bana mambo mengi asubuhi..." Sasa si mngesema tukutane saa nane?
Hivi kweli Waafrika tutaweza mambo serious kama swala la muda tu linatushinda!
Hii inaonyesha ni mambo gani sisi kama jamii tunayapa kipaumbele katika maisha yetu, na matokeo yake ndio haya tunayoyaona yakijionyesha kwenye kiwango cha maendeleo tulicho nacho.Alafu ni kwenye mambo ya maana tu ndo waTz kuchelewa ila kama ni ahadi ya mgegedo wamekubaliana sa 2 mtu atafika saa 1 kabla achukue na chumba kabisa na wengine wanapaka mkongo ili chombo ikifika tu masebene..au kwnye simba na yanga mechi sa 9 mchana majitu yanaanza kuingia sa 1 asubuhi uwanjani gademiti!
Sio kwamba hatuheshimu muda,tunacheleweshwa na factors mbalimbali.Ukimwambia mkutane saa nne atakujaa saa Tano .wabongo na muda n vtu viwili tofauti hatuheshimu muda baadhi yetu
Ni uzembe tu..Our nature we africans