Kwanini watangazaji na wachambuzi wengi wa mpira ni Yanga?

Sir, the issue is very very simple.

Simba kwa sasa ndio team yenye brand kubwa zaidi na kupendwa pia kufatiliwa kuliko club yoyote.
Ina followers wengi kuliko club yoyote kwenye platforms zote, inashiriki mashindano makubwa, ina wachezaji wa daraja la juu kwa ligi yetu kuliko club yoyote, ina fedha, ni bingwa mtetezi, ina Arena yake ya kisasa kabisa n.k

Hivyo vyote vinafanya Simba kuwa mtaji kwa wachambuzi ambao wanatengeneza pesa via social media accounts zao, if he/she talks anything nasty about Simba lazima iende viral kwa sababu Simba fans tuko active mbayaaaa aongelee kuhusu Yanga apate nini wakati wamelala?

Mtizame Mange, Soudy Brown na wenzie wanatumiaje mambo ya Mond kutengeneza mawe hata wakimzungumzia Kiba au Harmonize ni kwa mlengo uleule wa eidha kijembe kwa Mond n.k
So usiumizwe kichwa na vitu zinazoingizia watu pesa. So have fun life is too short buda.
 
Yanga nayo pia ni CCM
 
Wala siwezi kuumizwa kichwa mkuu...lakini kuna Sumu imesambazwa ndani ya vichwa vya mashabiki wengi kiasi kwamba mchambuzi akisema chochote chenye mapungufu kuhusu klabu yao mashabiki huja juu kwamba kwasababu huyo mchambuzi ni wa upande wa pili....bila kujali anachosema kina mantiki ama la kitu ambacho no upuuzi mtupu kwenye michezo kwa ujula wake
...hicho ndicho ninacho ongelea mimi.
 
Tatizo ni kizazi hiki kilichoipenda Simba kipindi Hiki Cha Moo, hakitaki kusikia Bata lolote kuhusu Simba, ukiongeza na majigambo ya msemaji wao Basi wao wanadhani Simba ni zaidi ya vilabu vyote duniani, kumbe kiuhalisia Simba na Ruvu shooting au Tz prison ni na Mashujaa fc wote ni sawa tu.
 
Nazani ungemuliza haji manara maana ndio kitengo chake..! teh teh unamwita mwandishi mpumbavu afu unadhani waandishi wenzake wanafurahia teh tehh
Haji kayataka mwenyewe Sasa hiv vyombo vya habari vimemsusa.
 
Umemaliza kila kitu mdau
 
Huu uandishi wako ni km wa wale wachambuzi mambumbumbu
 
Simba ni furahisha genge tu ila watanzania wote ni yanga ukishaitwa mwanachi wa Tanzania [emoji1241] unakuwa unakuwa mwanayanga moja kwa moja huwezi kataa asili yako hata manara yupo simba kutetea biryan ya nyumban kwake
 
Haji kayataka mwenyewe Sasa hiv vyombo vya habari vimemsusa.
kuna mgogoro wa wachezaji, mgogoro wa viongozi, mgogoro wa wanachama (wanao mpinga CEO), Na mgogoro na waandishi wa habari...bi hadija manara propaganda zinamrudia mwenyewe.. teh teh teh
#Simba_nguvu_moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…