SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Duh,kumbe J ni no rinda!!!Unayemuongelea kwa Kauli hizo ni Jimmy Kindoki ambaye kwa tunaomjua tunajua alifanywa nini na Mdau wa Yanga SC Carlos the Don mwaka Juzi walipolala Chumba Kimoja Mbeya pale Yanga SC ilipoenda Kucheza na Mbeya City katika Mechi ya Ligi Kuu.
Huyo Kiongozi mkubwa unayemuongelea hapa ni Mstaafu wa Kikatiba kwa mwaka 2005 - 2015 ndiyo anampa Kiburi kwakuwa ni Rafiki Mkubwa na Baba Mzazi wa Mfungwa Mpya wa Leo wa Kamati ya Maadili ya TFF.