Kwanini Watangazaji wa 'Kipyenga Extra' East Africa Radio wameumia sana na 'Nyundo' aliyopewa Haji Manara?

Duh,kumbe J ni no rinda!!!
 
Kwa sasa manara anashauriana na wazee maarufu wa Yanga pahali pa kupata mganga mzuri wa kutengua adhabu aliyopewa
Tokea juzi alikuwa huko na yuko Kigamboni. Ni Mganga ambaye amewasaidia mno Mafisadi wa Tanzania Wasifungwe na ndiyo huyo huyo amemsaidia sana aliyekuwa Mkuu wa Mkoa aliyewahi na anayechukiwa zaidi na Watanzania.

Mfungwa alichelewa kwenda Kwake.
 
Nimegundua hii hukumu ingeambatana na kwenda kupimwa akili
Mwenyewe takadini anadai haelewi kilichotokea siku ile kwani anachokumbuka ni kuwa alikuwa anamsalimia tu Mh. Rais Karia, ila alipomaliza tu ndiyo akazinduka kuwa alikuwa anampaka. Hassan Bumbuli mtu mbaya sana, na tangu tangazo lilipotoka hadi sasa anakula bata la hatari. Uchawi upo jamani.
 
Alifanywa nini,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jiongezee au kama bado hujui kuanzia Leo anza kufatilia mpka utakuja kupata ukweli wee unadhani kiburi anapata wapi
Yaan yule ndo anajifanya think tank wa Taifa, kila kitu ni yeye, tumemchokaaa, atuacheee bhanaa. Watu hawamuogopi wanamuheshimu tyuuh.

Asiingize soka na siasa zake chafuuu. Atupumzishe sie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…