GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Fanya tu uwarejeshe kwa muumba.tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka sana tutumie Nguvu Kubwa kuwarekebisha na kuwabadili
GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"The king 👑
Nadhani nawe Umemsikia na Unamsikiliza.mtangazaji wa kiume anadeka kama binti..nafikiri ni malezi
Samahani Mkuu kwani nawe ni Nusu Mwanaume na Nusu Yule?Kwani kama akiwa wao kuna tatizo gani mkuu?? Ikiwa anafanya kazi zake analipwa malipo yake na analipa Kodi ya Taifa na kufanya maendeleo? Nadhani tungepambana na watumia madawa ya kulevya na unga na Mafisadi
Wanacheka cheka sana kama malayaKuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu.
Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka sana tutumie Nguvu Kubwa kuwarekebisha na kuwabadili.
Hali ni mbaya tusilifanyie Mzaha Ok?