Samahani kashengo naomba unisaidie kunijibia swali hpo juu khs usajili
Umeona mkuu!kwangu nilichojifunza mkuu ni kudhindwa kuchsnganua michanganuo ya hawa waungwana kiasi kwamba inafikia pahala hawatoi suluhu kuwa tufanye nini . tuanzie wapi nk zaidi ya ubababe wa kudhinda
Mkuu usimtukane bure huyo mdau!Huu ndio upuuzi tusioutaka humu.
Sasa we wizi unauita "kaujanja"!
Halafu kwa akili zako zilivyo nyingi unadhani TRA wanajali bei ya hio invoice yako?
Ingekuwa raha basi.
Manake unanunua TV Sonny 75 inches km pc 10 hivi halafu unaandika kila moja $15 tu! Ili ulipe chini.
Halafu we huoni kuwa hata huyo Supplier unamfajamisha kuwa wewe ni MWIZI!
Hebu Watanzania jaribuni kubadilika msome japo kidogo!
Dah!
Ahsante mkuu,so ina maanisha kwa incubator ya mayai 528 kwa laki tano mpaka sita inaweza patikana kabisa mpaka nchini pamoja na kodi?
Ni vizuri kununua vitu kwenye alibaba.com kama una mkaguzi China ambaye anaweza cheki vitu vyako kabla havijatumwa au uwe unasafiri mwenyewe kuja China.
Kama huna mtu wakukagua vitu vyako hapa China au kuja china mwenyewe binafsi utapata matatizo tu, maana wachina mara nyingi wanapenda kureduce production costs kwahiyo kuna uwezekana mkubwa wakakupa mzigo wenye ubora wa Chini zaidi yani under specifications.Kitu kibaya zaidi vikashatumwa na ukavipokea haviwezi rudishwa China!vitu vikisha toka nje ya China huwezi virudisha maana sheria zao ni ngumu.
Ushauri wangu, kama wewe ni mfanyabiashara inabidi utumie sourcing agent wa kitanzania ambaye yuko China awe anakusaidia kucheki na kuakiki bidhaa zako na kuakikisha mambo uliyo ongea na supplier wako yanatendeka vizuri.Maana huwezi kuwa unasafiri kuja China kila wakati ni gharama sana na pia huwezi zungumza Kichina, maana lugha pia upelekea kutokuelewana hawa wachina.
Kitu kingine, on alibaba.com suppliers wengi hukataa order ndogo maana hizi order ndogo inakuwaga vingumu kusafirisha na pia unakutaka mara nyingi hawana products in stock mpaka kuwe na order kubwa ndiyo wanafanya production.Wanapenda kupokea order kubwa kwasababu inakuwa lahisi kusafirisha kwa kutumia maji.
Traders Easy Way-We Supply According to your Budget - Featured Electronics
Wadau, mbona shipping inakwua kubwa. Kwa mfano ninaaka kuagiza kitu cha $23 naona shiping ni $223 how. Kuuliza sio ujinga
wao kama alibaba wanatumia mfumo wa escrow ambao unamlinda mnunuzi na muuzaji, mfano ikitokea umetumiwa bidhaa tofauti na ile uliyoagiza au hujatumiwa kabisa bidhaa yako basi pesa yako inarudishwa kwa kutumia mfumo huo wa escrow hivyo kuifanya biashara yao kuwa salama zaidi....tatizo kubwa ambalo watu wengi hawajui ni kile kiasi cha pesa kilichobaki kwenye account yako ya benki kinaweza kuchukuliwa na watu wajulikanao kama hackers (hawa wanakesha kwenye internet kuchunguza nywila za watu mbalimbali zilizotumika kusafirishia pesa na wao hufanya wizi kwa kusafirisha pesa kuingia kwenye account zao)....nadhani nitakuwa nimekujibu vizuri la hasha uliza tena nitakufafanulia mkuu.sawa mkuu sasa hiyo ina ukuaminisha vipi kukuepusha na utapeli na wewe kutopokea mali?
Mi nime jiunga na alibaba miezi mi 3 iliyo pita,wako vizuri sana.Response ya suppliers ilikua first class ambayo sidhani kama naweza ipata kutoka kampuni yoyoye hapa tanzania.Nime wasiliana na kampuni 1 ,wakanitumia sample for free japo nili lipia shippinh cost,af washenzi TRA waka nichaj kodi elfu 70 wakati mzigo ulikua na value chini ya 10 $.
Nasubiria vibali tu toka Tfda ili niagize mzigo mkubwa,sina nauli ya kwenda china kununua mzigo na e-commerce ni the best option kwa sie wenye mitaji midogo.
Kwa wale mnao anza kama mimi nawatakia kila la heri
wao kama alibaba wanatumia mfumo wa escrow ambao unamlinda mnunuzi na muuzaji, mfano ikitokea umetumiwa bidhaa tofauti na ile uliyoagiza au hujatumiwa kabisa bidhaa yako basi pesa yako inarudishwa kwa kutumia mfumo huo wa escrow hivyo kuifanya biashara yao kuwa salama zaidi....tatizo kubwa ambalo watu wengi hawajui ni kile kiasi cha pesa kilichobaki kwenye account yako ya benki kinaweza kuchukuliwa na watu wajulikanao kama hackers (hawa wanakesha kwenye internet kuchunguza nywila za watu mbalimbali zilizotumika kusafirishia pesa na wao hufanya wizi kwa kusafirisha pesa kuingia kwenye account zao)....nadhani nitakuwa nimekujibu vizuri la hasha uliza tena nitakufafanulia mkuu.
Sishauri mtu ajiunge au anunue vitu alibaba wengi ni wezi matapeli (scammers) unagiza simu unaletewa mdoli wa kichina,
acha upotoshaji bana wewe, ukiona mmoja haumwelewi unaachana naye unaenda kwa muuzaji mwingine. kwanza siku hizi alibaba wana escrow, tafuta gold supplier nunua kwa escrow, siyo unaponda tu ONE IN A MILLION, unafikiri kampuni ingekuwepo mpaka sasa?!!! watu tunanunua kule kila siku, cha kuhofia sanasana ni ubora tu, na kwa hilo kama ni mteja unataka vingi wanakutumia sample BURE!!
ilikuwajr mkuu? wengi huwa tunasahau kufile despute mapema!kiongozi mimi walinipiga ktk hiyo hiyo Escrow kilo 9. Sina hamu.
ilikuwajr mkuu? wengi huwa tunasahau kufile despute mapema!
National Bank of Commerce!mwanzoni nlitaka jiunga na ebay lakini benki wakanisumbua sana kwenye kupata mastercard, je tofauti na crdb ni benk gani unayoijua wana mastercard?
National Bank of Commerce!
ilikuwajr mkuu? wengi huwa tunasahau kufile despute mapema!
http://www.dragon-guide.net/hangye-en/zuihaowaimao.htm ...... ingia biii website au B2B trade guide utapata mambo mengi probaly wanaweza omba ujiunge unaweza fanya hivyo