Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kila tangazo zuri linatengenezwa nje ya nchi, kwanini tunashindwa?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujaona yale ya Magodoro Dodoma na comfy huwa nakereka ile mbaya...Hasa matangazo ya TBS yana kera sana........hayavutii kabisa
Tanzania wapo wanaoweza kutengeneza matangazo ya hivyo tatizo hatuaminiani katika kazi na anaekuja kupewa ni mbovu ambae ametoa mgawo kwa wengine ndio tatizo
Eti bambo mwisho anaonekana anaweka mkono juu ya magodoro wakati magodoro yenyewe yako mbali na mkono aibu mengine
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
huyu Bambo si ndio mwisho wa tangazo anakuwa kama anafanya matusi na godoro huku akisema 'kukuruka mwanangu'?
Haujaona yale ya Magodoro Dodoma na comfy huwa nakereka ile mbaya...
Nyie mnaoponda na kulalamika humu kwanini msianzishe makampuni yenu ya kutengeneza hayo matangazo?changamkeni opportunity ndio hizo sio kuja humu kupiga domo tuu huku mnajua cha kufanya...mkifanya kazi nzuri wateja wote watakuwa wenu
soma kuanzia mwanzo utaelewa na kingine wanatengeneza matangazo ili kuwavutia watazamaji ambao ndio wateja kama watazamaji na wateja vinawakera acha waseme ili wafikirie kingine
kuna rafiki yangu alitengeneza tangazo zuri la airtel kwa kutumia 3d akalipeleka pale halikutoka sababu kila mtu alitaka kupata kitu kutoka kwenye lile tangazo mwisho akakosekana wa kulipokea na kumfunga paka kengele akarudi nalo huwa anaplay anaangalia mwenyewe tu nyumbani