Kwanini Watanzania hatuwezi kutengeneza matangazo mazuri ya biashara?

Kwanini Watanzania hatuwezi kutengeneza matangazo mazuri ya biashara?

Hili tangazo yule binti mwenye yellow mwanzo (acha haya ya Zantel) sijui waliwaza nini... Hapo mwanzo ukimuangalia huyo binti yupo asili na mzuri hasa! Then akawa transformed ambapo nahisi mtengeneza tangazo alihisi for the better... Huyo binti anaonekana mzuri pale mwanzo akiwa na nywele zake bila makeup kuliko alipo ongeza nywele na kujimake usoni.

Kuna age ambayo wanawake hawatakiwi kuji make sana... hasa hao young. They look more beautiful and sincere.
 
Matangzo ya soda za azam yana boooooooooooaaaa sana , waweza kufa ati kwa kuyatazama
 
Linaloniboa zaidi ni tangazo la Rungudent. . .sijui alichukua walinzi wa kampuni?
 
Tanzania wapo wanaoweza kutengeneza matangazo ya hivyo tatizo hatuaminiani katika kazi na anaekuja kupewa ni mbovu ambae ametoa mgawo kwa wengine ndio tatizo

Eti bambo mwisho anaonekana anaweka mkono juu ya magodoro wakati magodoro yenyewe yako mbali na mkono aibu mengine

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Multimedia industry iko nyuma sana hapa kwetu, ila ni fursa na ajira yakutosha kwa watu wenye nia na hii kitu.
 
Tanzania wapo wanaoweza kutengeneza matangazo ya hivyo tatizo hatuaminiani katika kazi na anaekuja kupewa ni mbovu ambae ametoa mgawo kwa wengine ndio tatizo

Eti bambo mwisho anaonekana anaweka mkono juu ya magodoro wakati magodoro yenyewe yako mbali na mkono aibu mengine

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

huyu Bambo si ndio mwisho wa tangazo anakuwa kama anafanya matusi na godoro huku akisema 'kukuruka mwanangu'?
 
Nina ideas kibao nzuri kwa bidhaa tofauti, ila pa kuanzia ndio huwa sijui. Hivi hamna mkataba for sale of ideas? Kwa sababu hawachelewi kuchakachua wakanizingua. I would need to protect my IPR
 
Ni wakati muafaka wa kuanzisha chombo za udhibiti wa viwango vya matangazo ya kibiashara haswa ya Television.
 
huyu Bambo si ndio mwisho wa tangazo anakuwa kama anafanya matusi na godoro huku akisema 'kukuruka mwanangu'?

Ni aibu tupu. Me huwa najiuliza hivi wenye bidhaa (magodoro) wameridhika kabisa na tangazo lile? Hakuna namna nyingine ya kuonyesha ubora wa bidhaa? Uvivu wa kufikiri utatuisha lini?
 
M,atangazo yanakera! Mengine wamechanya lugha, mengine yanashinikiza uhuni, mfano shalobalo men, mengine yapo kichovu mno.... Viashiria vya umasikini katika taifa hili ni vingi mno.
 
Hawa starmedia hawana advert hata moja nzuri kama ya sasa hivi ya yule mtoto anarukia remote ndio hata haieleweki eti lile jamaa nalo linakimbia baada ya kumuona mtoto anakimbia yani bongo bado saana angalia kwa mfano mzee majuto anaonekana kwenye matangazo 4 tafouti azam cola,comfy na airtel hivi hawa wote wameishiwa?
 
Nyie mnaoponda na kulalamika humu kwanini msianzishe makampuni yenu ya kutengeneza hayo matangazo?changamkeni opportunity ndio hizo sio kuja humu kupiga domo tuu huku mnajua cha kufanya...mkifanya kazi nzuri wateja wote watakuwa wenu
 
soma kuanzia mwanzo utaelewa na kingine wanatengeneza matangazo ili kuwavutia watazamaji ambao ndio wateja kama watazamaji na wateja vinawakera acha waseme ili wafikirie kingine

kuna rafiki yangu alitengeneza tangazo zuri la airtel kwa kutumia 3d akalipeleka pale halikutoka sababu kila mtu alitaka kupata kitu kutoka kwenye lile tangazo mwisho akakosekana wa kulipokea na kumfunga paka kengele akarudi nalo huwa anaplay anaangalia mwenyewe tu nyumbani
 
...inawEzekana unachosema ni kweli na rushwa inarudisha sana maendeleo,ila naamini kazi nzuri with high quality itauza tuu na wababaishaji wote markets will filter them out,mwambie rafiki yako asikate tamaa business is hard!!
 
Back
Top Bottom