Kwanini Watanzania hawapendi kusafiri?

Uko sahihi.
 
Ukizilinganisha nchi za Afrika Mashariki, hasa Kenya, Uganda, na Rwanda, Watanzania ndiyo wanaoongoza kwa kutokusafiri kwenda nchi zingine. Kwa nini hivyo?
Tanzania nchi ya amani ambapo ukiweka jitihada kidogo tu maisha yanakunyookea. Sababu kuu ni watu kuridhika na nchi yao na kutokuwa na sababu ya kuhangaika. Hao wakenya, Rwanda na Burundi wana dhiki kali kwenye nchi zao hivyo hawasafiri kwa kupenda.
 
Sio lazima tufanane. Kila watu na taratibu zao, ziheshimiwe.
Bwana we, kubali tu uhalisia.
Hayo yote aliyoyataja ni sababu.

Unadhani nisingependa kusafiri kwenda kuangalia game za Simba kimataifa, huku napenda mpira na hii ni timu yangu pendwa.

HELA HATUNA. NA KUNA WENYE HELA HALAFU WASHAMBA NA WAMEZALIWA NA KUKULIA NEW YORK YETU "DASLAMU"
 
Tanzania nchi ya amani ambapo ukiweka jitihada kidogo tu maisha yanakunyookea. Sababu kuu ni watu kuridhika na nchi yao na kutokuwa na sababu ya kuhangaika. Hao wakenya, Rwanda na Burundi wana dhiki kali kwenye nchi zao hivyo hawasafiri kwa kupenda.
Wengi wa wanaosafiri si kwa ajili ya kutafuta pesa, bali kwa sababu wana hela.

Mjapani anayekuja kuupanda Mlima Kilimanjaro ananufaikaje kiuchumi?
 
Ukiachilia mbali pesa yetu kutokua na nguvu duniani.
Hawa wenzetu passport zao zina nguvu sana wanaweza kwenda nchi nyingi bila ya kuomba visa.
kwa mfano huyu mwanadada ni mmarekani, ambapo ukiwa na passport ya marekani unaweza kwenda nchi 143 bila kua na visa hili lina wapa unafuu mkubwa sana tofauti na passport zetu.

Na pia katika baadhi ya nchi zitakazo hitaji awe na visa ili kuingia hazisumbui sana kwasababu ina fahamika akishakua raia wa marekani bila shaka yupo vizuri ki'uchumi na inakua rahisi kupewa visa kuliko sisi wa nchi nyengine.

Kusafiri kimataifa kuna changamoto nyingi sana na nchi nyingi zina zingatia passport yako na hali ya nchi yenu ki'uchumi.

NB: kwa wasio jua maana ya visa ni kibali unachopewa na nchi unayotaka kwenda baada ya kujiridhisha wao kwa masharti waliojiwekea, na huwa kina weza bandikwa ndani ya passport kama stika au kuwekwa muhuri wa stamp.
 
Umeelezea kama Mwalimu πŸ™πŸ™πŸ™
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] shangazi aliyemeza panga...
Unaambiwa tuma hela ya matibabu haraka
 
6. Majukumu
7. Si kila mtu anapendelea safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…