Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Unadhani kanda ya ziwa wanaigana kuweka paa kubwa? Fuatilia vizuri sababuMleta mada,
Nadhani Nyumba nyingi Zinakuwa hivi kwa sababu watanzania tunaigana Sana, ukienda Kanda ya ziwa Nyumba zote paa kubwa mno
Kuna haja ya kuwapa kipaumbele Architects, tatizo serikali nayo imelala, wanapokea ada tu bila kuweka kipaumbele kwenye taaluma hii