Kwanini Watanzania lazima tuweke magrill kwenye madirisha?

Hiyo style yako ni nzuri,unaleta mvuto Kwa nyumba na urahisi wa air circulation ndani nyumba,ni stahil inayotumika sana ulaya,uchina,huwa naona kwenye movies nyingi za wazungu.Binafsi naipenda hii style,changamoto kubwa huku
kwetu ishu kubwa ni security haijakaa sawa,waweza vamiwa nyumbani hata kwa hausigel tu kuuza ramani,na ukapata madhara zaid hata ya saman za ndani.
 
Ni kweli, ndio maana nilisema eneo unalojenga ni muhimu sana kuzingatiwa na hali ya usalama kiujumla. Design ya nyumba yangu ipo simple sana ni pitched roof bungalow nilitaka iwe na muonekano usio na mambo mengi ili isitengeneze attention kabisa. (Design focus was keep it simple and practical)
 
Mimi mwenyewe huwa siyapendi. Hapa nchini kwetu inategemea na eneo ulipojenga nyumba yako. Isingekuwa sbb za kiusalama ningeweka nyumba yangu hapa uone ina vyumba viwili vya kulala ila nimeweka full windows floor to ceiling zenye ukubwa wa 2.4 m urefu kwa 2 m upana na sijaweka grill. Huwa watu wengi sana wakija kwangu hupata mshangao wa jinsi madirisha yalivyo makubwa na hayana grill.
Hayo madirisha yamekugharimu sh ngp?
 
MM
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?

Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?

Marekani hawaibi tv Wala mafridge nk vya Ndani.
 
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?

Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
kwani marekani ndio Role model wetu?
 
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?

Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?

Kaka kwanza sio lazima we usiweke madirisha weka vioo tu kama ulaya mlango weka mbao. Kawaida

Ila kwa sie wengine ni mfumo wa maisha unatufanya tuweke.... miaka ya nyuma kabla ya jiwe fatuma hajazeeka hakukuwa ba grill
 
Hayo madirisha yamekugharimu sh ngp?
Gharama ilikuwa around Tshs. 750k per sqm kipindi hicho kabla ya VAT, ni double glazing nilitengenezewa na kampuni moja inaitwa Superlock Tz ( now Simba Doors & windows) ofisi yao ipo Masaki kilima nyege jirani na shule ya kimataifa ya Tanganyika na ubalozi wa Rwanda.
 
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?

Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
marekan wanaiba pesa cash
wezi wetu wanataman Tv Vingamuzi moaka flash disk
 
Kimuonekano pana fanana sana na nyumba hii. Tofauti yake mimi nimeweka full windows floor to ceiling nyumba nzima except for bathroom, laundry room and kitchen.
Umefanya kitu ninachowaza Mimi. Kwangu nitaweka vioo tu Tena visivofunguka, ndani nataka kuwe na ventilation system za umeme
 
Mleta mada,
Nadhani Nyumba nyingi Zinakuwa hivi kwa sababu watanzania tunaigana Sana, ukienda Kanda ya ziwa Nyumba zote paa kubwa mno

Kuna haja ya kuwapa kipaumbele Architects, tatizo serikali nayo imelala, wanapokea ada tu bila kuweka kipaumbele kwenye taaluma hii
 
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?

Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Magrill huku kwetu ni kwa ajili ya vibaka na sio majambazi....
 
Dunia ya Leo imekaa vibaya,magrili ni ulinzi tosha usiku Kwa wabaya,japokuwa likitokea tatizo la short ya umeme ndani ya nyumba mtapoteana.
 
Back
Top Bottom