Yapo uliza mafundi tuu nimeshaona somewhere
Hilo grill na kioo lenyewe jamaa nimewakuta usiku sa tisa wameng'oa wameweka pembeni wanahamisha vitu km kwao.
Mi ndio nikawakurupua.
Walishabeba kila kitu.
Tena kwa mkokoteni,maana kirikuu hamna kipindi hiko
wala canter noma itapiga kelele.
Nimewakurupua wakachana njia spidi ya marathon
Na mkokoteni wao
tena kulikua na kimlima pale.
Kuingia ndani wameiba kila kitu
Kasoro kitanda tu.
Yule mwanamke kwake alikuwa analewa tu pub.
Namfata kumwambia umeibiwa anasema we mwongo.
Unataka turudi wote.
Ikawa mi nakuacha utachokikuta huko shauri yako.
Ndio kashtuka tuende.
Aisee alichoona Alilia wiki nzima mpk mwenyewe machozi yakanitoka.
Kulikua na hela mle ndani za kutosha.
Cm2,tv,acha nguo,godoro,deck,
jamaa walisafisha
Kupitia dirisha hilo lilikua na grill wakalitoa lote zima zima likabaki tundu tu.