Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Umtoe wapi sasaSina dem nna mke😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umtoe wapi sasaSina dem nna mke😂
Kwa Tanzania usipoweka grill, uwezekano wa kusafishwa ni 99%.Je ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Mbeya[emoji16]Umtoe wapi sasa
Kula chuma hicho..ndio maana wanichoraga faller wewe😂😂😂Mbeya[emoji16]
Hapana mkuuKula chuma hicho..ndio maana wanichoraga faller wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuna usalama na amani inayohubiriwa.Je ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Mkuu ukweli siujui na siwezi kuambiwa.Hapana mkuu
Hayo yako[emoji23]
Unazingua sana wewe
Unajua ukweli sema unapindisha pindisha
unazingua
Muuzieni na Yemeni bunge kabisa, Iran mpeni pilisiHatuna usalama na amani inayohubiriwa.
Polisi ndio haohao majambazi
Wanajeshi ndio haohao majambazi.
Dubai tumewapa bandari watuendeshee, Saudi Arabia tuwape mahakama waziendeshe.
Dah we jamaa una PhD ya uwongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ukweli siujui na siwezi kuambiwa.
Japo ndio umeambiwa upande mmoja.
Niwe mkweli, ikiwa ni kile chuma ni sahihi.
Ni bora sana
Kama ingetakiwa recommendation letter nahisi ningemwandikia iliyo bora kabisa na kila mwanaume angependa kuwa wake.
Nikiri yule ni kiumbe bora kabisa yaani ubora wa hali ya juu.
Na ikiwa unamiliki sina budi kukupongeza kwa moyo mweupe kabisa.
Uongo uko wapi mkuu?Dah we jamaa una PhD ya uwongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea unaishi maeneo gani ila katika maeneo mengi bila grill hatari sana. Grill zipo wanakata wanakuiba ije kuwa bila grill. Mimi mwenyewe zisipendi ila hamna namna.Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Acha usiweke utakuja kurudi kubadili headingJe, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Mkuu,kwa nini unaishi kituo cha afya?Natania.Kimuonekano pana fanana sana na nyumba hii. Tofauti yake mimi nimeweka full windows floor to ceiling nyumba nzima except for bathroom, laundry room and kitchen.
Unalindwa na vyombo vya usalama mkuu?Nchi hiihii au ni kule Mocambique?Grille ni mahususi kuzuia Vibaka na wadokozi wala sio kumzuia Jambazi... na kibaka ni rahisi kumzuia simply kwa electric fence na alarm system, basii....
Jambazi mwenye bunduki grille yako haimzuii chochote, na tushukuru vyombo vyetu vya usalama, siku hizi ujambazi umepungua mno.. soo kwangu mimi grille hazina maana na nimejenga mwaka wa nne sasa bila grille na sijawahi kupata changamoto yoyote ile. Cha msingi nilichohakikisha ni proper security kwenye perimeter kwa kuweka electric fence na alarm system.
Tizama hata mahoteli yote ya kitalii, au nyumba za wazungu Arusha, hakuna hata moja iliyowahi kuwekwa Grille.
Tuamke na tuache ushamba wa kizamani.