Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Weka ukuta kidogo na chuma, na upande miti mingi kuzungukaWengine hawapendi unoko wa Wana mtaa kujua Mambo yao wanaamua kufunga ukuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ukuta kidogo na chuma, na upande miti mingi kuzungukaWengine hawapendi unoko wa Wana mtaa kujua Mambo yao wanaamua kufunga ukuta
Panya road wengi 🏃🏃Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Bila shaka yatakuwa yanaitwa madirisha Panya road 😂😂🤸View attachment 2668307
Wakuu haya madirisha ya aina hiyo hapo jina lake yanaitwaje
Weka ukuta kidogo na chuma, na upande miti mingi kuzunguka
dawa yao ni bunduki tuu, wale sio wezi tuu wanaua watuPanya road wengi 🏃🏃
Kanuni za ujenzi zinaweza kutungwa kuzuia ujenzi kama huo, mfano sehemu nyingi US huwezi kujenga ukuta kama fence, na unaruhusiwa kwa urefu fulani tuu uliokubalika kisheria, tatizo maukuta marefu ya cement yanazuia mtiririko wa hewa na kufanya makazi yaonekane ya ovyo sanaNimeona Waarabu wengi wanapenda Sana kufunga ukuta mrefu
Wengi wa aina hii ni antisocial kwa Wana mtaa kubadilika ni shughuli
Wazo zuri piaKanuni za ujenzi zinaweza kutungwa kuzuia ujenzi kama huo, mfano sehemu nyingi US huwezi kujenga ukuta kama fence, na unaruhusiwa kwa urefu fulani tuu uliokubalika kisheria, tatizo maukuta marefu ya cement yanazuia mtiririko wa hewa na kufanya makazi yaonekane ya ovyo sana
Shaolin, hii chaiWe unaongea nini? Bila grill hapo utajikuta mpk mwenyewe umebakwa hapo washaiba kila kitu.
Unaijua ndoano?
Siku nimechill hapo gheto kwangu na simu pembeni naliona jamaa kaingiza bonge la jiti lina nanga mbele kisa aibe simu.
Hapo nipo macho namchora tu.
Nilivuta lile jiti kwa spidi nikarirudisha kwa spidi ile ile nikasikia yowe tu huko nje kama hakutoboka macho huko nje litakua lilimtwanga mahali usoni.
Hakujua km kaenda kuiba kwa shaolin master
Toka mwaka 90 kwa taarifa yakoShaolin, hii chai
Something hakipo sawa. Take a break kuhusu hii mambo ya waarab. Ungekuwa unathamini sana hao ungeenda kuishi huko. Mbona uwezo wako umekuwa tofauti sana kipindi hiki dada? Ni suala la bandari tuu au kuna mengine?Hatuna usalama na amani inayohubiriwa.
Polisi ndio haohao majambazi
Wanajeshi ndio haohao majambazi.
Dubai tumewapa bandari watuendeshee, Saudi Arabia tuwape mahakama waziendeshe.
Saudi Arabia polisi akikupeleka mahakamani akisema uchuguzi huajakamilika anawekwa yeye ndani kwa kukuonea.
Mimi naamini 100% wewe huelewi hata Waarabu maana yake nini.Something hakipo sawa. Take a break kuhusu hii mambo ya waarab. Ungekuwa unathamini sana hao ungeenda kuishi huko. Mbona uwezo wako umekuwa tofauti sana kipindi hiki dada? Ni suala la bandari tuu au kuna mengine?
View attachment 2668307
Wakuu haya madirisha ya aina hiyo hapo jina lake yanaitwaje
Wengine wanaweka grill kwa sababu ya mchwa. Mimi pia sipendi grill lakini maeneo ninayokaa kuna mchwa hatari sana. Nafkiri grill inafaa sana na inaweza kuwa grill bila kioo.
siyo hayo tu hata samaki aliyepikwa wakimkuta kwenye jiko wataondoka nae.We kilaza wa wapii...unafananisha USA na tz uku wanaiba had madekio...na ndalaa shiiit....
Kwangu nimeweka electric fence lakini pia walitoboa tundu kwenye ukuta wakapitaCha msingi nilichohakikisha ni proper security kwenye perimeter kwa kuweka electric fence na alarm system.
Yapo uliza mafundi tuu nimeshaona somewhereGrill bila kioo? Ndo dirisha gani hilo sasa