Kwanini Watanzania lazima tuweke magrill kwenye madirisha?

Unadhani kanda ya ziwa wanaigana kuweka paa kubwa? Fuatilia vizuri sababu
 
Basi weka hata ya kwenye gugo kuyaone, au wewe ndio wa kwanza kuweka madirisha ya hivyo?
 
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?

Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Umeona ni Tanzania pekee? Nakushauri fanya utafiti upya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…