Kwanini watanzania wanamlaumu mwalimu Nyerere kwa kukosa elimu?

Kwanini watanzania wanamlaumu mwalimu Nyerere kwa kukosa elimu?

Kama tunaangalia tulipoangukia maneno yako yote ni kweli.
Lakini iwapotunangalia wapi tulijikwaa, Mwalimu Nyerere ni lazima abebe credit za mengi yatokeayo sasa, kwani hata rais aliyepita lilikuwa ni chaguo lake binafsi kwa kuingiza mizengwe kwenye taratibu.
Kasi ya kushuka kwa elimu ilianza ndani ya utawala wa mwalimu, huo ni ukweli unaouma.
 
Naamini takwimu zinazotolewa wakati wa Hotuba za Bajeti Bungeni. Ziko takwimu nyingine nyingi za uongo zinazotolewa baadaye. The following is verifiable (see Tanzania and Kenya government websites).

Kiasi cha fedha ambazo serikali ya Kikwete ilitenga kwa ajili ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika bajeti ya 2006/2007 kilikuwa sawa na US$ 239.65 million. Hii ilikuwa ni 4.9% ya bajeti yote. (Bajeti yote ilikuwa 4.486 trillion shillings).

Kwa kulinganisha, fedha zilizotengwa kwa ajili ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Ufundi ya Kenya katika bajeti ya 2006/2007 zilikuwa sawa na US$1,345.108 million. Hii ilikuwa ni 27% ya bajeti yote ya Kenya ya mwaka huo.

Hii maanake ni kwamba mwaka huo, katika kila dola tuliyowekeza kwenye Elimu, Kenya iliwekeza dola 5.

This manner of paying lip service to education started during the regime of Mwalimu. I am unable to quote similar figures for 1974 or so. Wakati wa Mwalimu, matumizi yote ya serikali yalikuwa siri kali.
 
Madela Wa- Madilu,
Kwanza, 1995 baada ya Yupo Yupo Ali Hasan Mwinyi au Mzee Ruksa wagombea watatu wa CCM waliobakia kwenye kinyang'anyiro walikuwa Benjamin William Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete na Cleopa David Msuya. Je kwa kuzingatia historia yao hawa, jukumu la kuchagua ungeachiwa wewe, ungempigia debe nani ?

Pili je unajua ni katika awamu gani kisomo hakikutiliwa maanani kwa sababu pesa zilikuwa nje nje hata kwa ambao hawakuona darasa ? Naongelea rushwa ya wazi wazi iliyofumbiwa macho na hivyo ikachanua kama uyoga wakati wa ruksa. Watu hawakuona tena faida ya kusota vitabuni na mulungula tu ulitosha kuwafungulia milango ya kutesa na kudesa.
 
Watu wenye nia na moyo wa kusonga mebele kimaendelea huipa kipa umbele elimu.
Elimu inapewa less than 5%?
Tabia hii ingekuwa imeanza 1995 au 1985 ningedhani MWalimu Nyerere kweli alikuwa kinara wa kuendeleza elimu kwa Watanzania. Lakini kama mwaka 1974 pia elimu ilipewa less tha 5% nani wa kubeba lawama kwa mwenendo wetu wa kuipa makalio elimu?? Nyerere.
Alianzisha juhudi za kuendeleza Watanzania kisha akatamani kujenga jina lake uniani kwa kuenzi kuwasaidia Kusini mwa Afrika. Matokeo yake yalikuwa ni kukata bajeti ya elimu na kutumia fedha nyingi na nguvu za Watanzania nje ya mioaka ya Tanzania.
Mpeni Sifa MWalimu kwa kuzipa Uhuru nchi zote za kusini mwa Afrika, kwa sababu huko ndiko alikofanikiwa sana.
 
😡
Mwalimu kafanya mengi sana na makubwa kuhusu Elimu ya Watanzania kuliko Mwinyi, Mkapa na Kikwete combined. Watanzania wengi ambao ni wasomi nchi za nje wakifanya vitu vyao ni matunda ya sera za Mwalimu katika Elimu na wengi hawaoni aibu kusema hivyo. Wengi wasingeweza kutia mguu shuleni kwa sababu wazazi wao wasingeweza kumudu gharama hizo au chuo kikuu na vyuo vyetu vingine.

Nyerere alijenga mashule na vyuo na kwa kutilia maanani kwamba Watanzania wengi walikuwa na vipato vidogo na hivyo kutoweza kumudu gharama za shule akaamua kuifanya elimu Tanzania kuwa bure kuanzia shule za msingi mpaka chuo kikuu na vyuo vyetu vingine.

Hao uliokutana nao labda walikuwa wanakimbia umande au wazazi wao hawakutilia mkazo elimu, lakini hapa kutka kumlaumu Mwalimu ni kumsingizia tu. Mwalimu hakuwa perfect lakini vision yake ilikuwa ni kubwa sana na ingawa aling'atuka miaka 24 iliyopita lakini matunda ya sera yake hadi hii leo yanaifaidisha siyo tu Tanzania bali nchi nyingi za Ulimwengu. Hebu mwacheni Mzee wa watu alale kwa amani badala ya kutaka kumlaumu kwa yale ambayo hastahili kabisa kulaumiwa.

Nyie wajamaa acheni kupiga kelele. Moshi anatoa hard data na bado mnakataa.

Mwinyi na Mkapa walikuwa wanatumia zaidi ya 250 Milioni kwa mwaka kulipa madeni ya nje. Hiyo ni robo ya mapato ya serikali.

Wao wangeweza kusomesha vipi au kufanya mambo gani mapya wakati wanalipa madeni.

Watu mliozoeshwa bure hamna mpango.
 
- Hata kwenye kumchafua Salim, wakati wa uchaguzi wa rais walitumia data kinachojalisha ni how much power waandika dataz had, ndio maana nikauliza ni wazungu gani hao wanaompenda sana Mwalimu, walioandika hizo dataz?

- Tuliozoeshwa bure ndio wenye mpango ndio maana na hatulaumu marehemu kwa kushindwa kwetu wenyewe kusoma shule ambazo zipo wazi, ndio maana sio tatizo hapa kuona asiye na mpango hasa ni nani, au?

FMES!
 
Madela Wa- Madilu,
Kwanza, 1995 baada ya Yupo Yupo Ali Hasan Mwinyi au Mzee Ruksa wagombea watatu wa CCM waliobakia kwenye kinyang'anyiro walikuwa Benjamin William Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete na Cleopa David Msuya. Je kwa kuzingatia historia yao hawa, jukumu la kuchagua ungeachiwa wewe, ungempigia debe nani ?

Pili je unajua ni katika awamu gani kisomo hakikutiliwa maanani kwa sababu pesa zilikuwa nje nje hata kwa ambao hawakuona darasa ? Naongelea rushwa ya wazi wazi iliyofumbiwa macho na hivyo ikachanua kama uyoga wakati wa ruksa. Watu hawakuona tena faida ya kusota vitabuni na mulungula tu ulitosha kuwafungulia milango ya kutesa na kudesa.

Watu waliuliza data. Kwenye posti yangu moja niliweka link ya Unesco. Katika link iliyo inaonyesha kuwa percentage ilianza kupanda wakati wa Mwinyi kutoka 3%.

Hakujenga shule lakini kuruhusu shule binafsi kuliongeza idadi. Hakujenga University, lakini alianzisha open University ambayo ndio University yenye wanafunzi wengi Tanzania.

Mmezoea bure na ndio mnagawana umasikini.
 
😎
- Hata kwenye kumchafua Salim, wakati wa uchaguzi wa rais walitumia data kinachojalisha ni how much power waandika dataz had, ndio maana nikauliza ni wazungu gani hao wanaompenda sana Mwalimu, walioandika hizo dataz?

- Tuliozoeshwa bure ndio wenye mpango ndio maana na hatulaumu marehemu kwa kushindwa kwetu wenyewe kusoma shule ambazo zipo wazi, ndio maana sio tatizo hapa kuona asiye na mpango hasa ni nani, au?

FMES!

Unajua kuna rational arguments na emotional arguments. Mkuu umejaza emotional arguments.
 
Watu waliuliza data. Kwenye posti yangu moja niliweka link ya Unesco. Katika link iliyo inaonyesha kuwa percentage ilianza kupanda wakati wa Mwinyi kutoka 3%.

Hakujenga shule lakini kuruhusu shule binafsi kuliongeza idadi. Hakujenga University, lakini alianzisha open University ambayo ndio University yenye wanafunzi wengi Tanzania.

Mmezoea bure na ndio mnagawana umasikini.

- Mkuu unamjua mbongo mmoja tu toka Open University, ambaye yuko juu kuanzia bongo au nje ya bongo? Sasa tukutajie wabongo wangapi wako juu waliosoma under Mwalimu na shule zikiwa chache?

- Kwani mkuu huko majuu hakuna mahomeless wanaogawana umasikini? Sasa na wao walizoea bure au?

Respect.

FMES
 
Bado huko kwenye emotional arguments na sio rational arguments. Mijadala kama hii sio mafundisho ya madrasa, kipa imara au Sunday school. Ni lazima utoe points na umbatanishe facts.

Fact: Between 1971-1981 Tanzania was the largest recepient of foreign aid. Hivyo bila ya misaada ya wahisani Nyerere asingeweza kujenga shule na unachotakiwa kuanzia sasa ni kuwashukuru wahisani.
 
Naamini takwimu zinazotolewa wakati wa Hotuba za Bajeti Bungeni. Ziko takwimu nyingine nyingi za uongo zinazotolewa baadaye. The following is verifiable (see Tanzania and Kenya government websites).

Kiasi cha fedha ambazo serikali ya Kikwete ilitenga kwa ajili ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika bajeti ya 2006/2007 kilikuwa sawa na US$ 239.65 million. Hii ilikuwa ni 4.9% ya bajeti yote. (Bajeti yote ilikuwa 4.486 trillion shillings).

Kwa kulinganisha, fedha zilizotengwa kwa ajili ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Ufundi ya Kenya katika bajeti ya 2006/2007 zilikuwa sawa na US$1,345.108 million. Hii ilikuwa ni 27% ya bajeti yote ya Kenya ya mwaka huo.

Hii maanake ni kwamba mwaka huo, katika kila dola tuliyowekeza kwenye Elimu, Kenya iliwekeza dola 5.

This manner of paying lip service to education started during the regime of Mwalimu. I am unable to quote similar figures for 1974 or so. Wakati wa Mwalimu, matumizi yote ya serikali yalikuwa siri kali.

Moshi:

Kuna siku kwenye thread ya Business nilipinga hoja yako ya waKenya walio nje kuchangia nchi yao.

Kwa data nilizonazo sasa. Ni kweli tuliboronga kwa kujifungia na kutosomesha watu wetu miaka ya zamani.

Wakenya walio nje wanachangia zaidi ya 10% hiyo ni huge chunk.

We have to thank somebody for our backwardness yetu.
 
Mwenye muda naomba apitie hiyo story hapo chini ili kupata picha halisi ya nchi hali ya uchumi wa nchi yetu na wenzetu wa Kenya.

hd_ejn.gif
Vol. 5, No. 2June, 2002

Debt Spotlight: Kenya & Tanzania
by Figaro Joseph
50 Years Is Enough Network

There have been many plans put forth to address debt in the Global South, most recently the Heavily Indebted Poor Country (HIPC) Initiative, launched by the World Bank and the IMF in 1996.

All these plans failed to deliver on their promises. Most fundamentally, they have not managed to reverse the net outflow of resources. The targeted impoverished countries continue to pay out more in interest alone, and transferring net resources to the creditor nations far in excess of new capital inflows. Kenya and Tanzania are good illustrations of this scenario.

World Bank data for 2000 indicate that Kenya's gross domestic product was $10.4 billion, and that it had an external debt of $6.34 billion. For the year 2000, debt servicing and interest payments total $706 million flowing out of Kenya to its creditors. Also in 2000, Kenya's exports of goods and services totaled $2.84 billion, compared to imports of $3.57 billion. In other words, Kenya suffered, in this area, a net deficit of $737 million. Kenya's current account balance, which is an indicator of foreign transactions on its income, for 2000 stood at –$326 million. Of Kenya's $6.34 billion international debt, $2.61 billion (41%) is owed to the World Bank and the IMF.
The numbers are even worse for Tanzania. Tanzania's GDP is $9.0 billion and it has an external debt of $7.1 billion. In the year 2000, Tanzania paid a total of $213 million in debt service. Debt servicing and interest payments combine for a total of $250 million flowing out of Tanzania. In 2000, Tanzania's exports of goods and services totaled $1.33 billion, compared to its imports of goods and services of $2.15 billion. In other words, Tanzania suffered, in this area, a net deficit of $819 million. Tanzania's current account balance for the year 2000 stood at –$827 million. The World Bank and the IMF claim $2.93 billion (41%) of Tanzania's $7.1 billion international debt.
The HIPC Initiative, which was supposed to relieve qualified countries from some of the debt burden, has been a major constraint for Tanzania's development. Given the lack of capital inflows, HIPC has not only done little in terms of debt reduction but puts Tanzania through a long period of structural adjustment policies. For example, in April 2000, the World Bank and IMF announced that Tanzania had satisfied the required structural adjustment conditions under the HIPC Initiative and thus qualified for some debt cancellation. Tanzania's debt servicing payments would thus be reduced from $193 million in 1999 to $87 million in 2021. In other words, it will take about 22 years for Tanzania to get a reduction on its debt service payments of $106 million, which amounts to an average of $4.82 million a year. This meager reduction cannot make any meaningful difference in Tanzania's social programs and development.

The large amount of capital outflows - debt servicing and interest payments - in Kenya and Tanzania have had an adverse impact on their ability to develop. Government expenditures on education, health, and other social sectors had to be cut in order to meet conditions of donor countries and international lending institutions. The governments could have allocated more funds to health, education, and other development programs if it were not for the net loss of capital outflows in terms of debt services and interest payments. This net loss puts tremendous strains on these states' revenues—much- needed revenues for education and health.

An April 2002 report by the Structural Adjustment Participatory Review International Network (SAPRIN) documents the effects of international debt and cuts in public expenditures as a result of structural adjustment policies in health care and education. The findings in the report are the results of joint studies by the World Bank, governments, and civil society organizations in several states. It finds that structural adjustment programs caused a continuous decrease in health and education spending during the 1990s in Zimbabwe, Ghana, and the other countries surveyed by SAPRIN. In Zimbabwe, for example, "[h]ealth care spending dropped to 2.1% of GDP in 1996 from 3.1% in 1990. Government allocations to the Ministry of Health decreased from 6% of total government expenditure to about 4%. The per capita budget for health care fell from $22 in 1990 to $11 in 1996."

Education and health expenditures in Tanzania have been in constant decline throughout the years of imposed structural adjustment policies. Education's share in total budget percentage fell from 11.85% in 1983/84 to 6.95% in 1990/91. The same holds true for health expenditures, which experienced a decline from 5.46% to 4.93% during the same period as education. The cases of Zimbabwe, Ghana, Hungary, the Philippines, and other countries in the SAPRIN report illustrate the scope of the adverse impacts of external debt and structural adjustment policies.

The net loss between capital inflows and outflows also affects domestic savings. This does not mean that the almost non-existent level of domestic savings in Kenya and Tanzania is completely the result of external debt. However, there is a strong correlation between currency devaluations required under structural adjustment and a country's ability to institute sound fiscal policies that would create incentives and real interest rates to encourage domestic savings and investments. In other words, once a currency is devalued, incentives to invest in the economy and the prospects for real interest rates dissipate. Therefore, people lose confidence and are less likely to keep deposits in domestic financial institutions. The most dramatic example of this syndrome in recent years has been Argentina, where the economy collapsed following its currency devaluation as it defaulted on its external debt.

After decades of searching for development strategies, it is by now clear that Kenya and Tanzania can no longer afford to continue with the prescriptions of the IMF and World Bank. In choosing a new direction, there must be a recognition that some of their external debt simply cannot be repaid. In fact, many have argued that most of the debts have already been paid. The IFIs need to acknowledge these findings by canceling the debt.

Africans can seek a new beginning by recommitting themselves to collective strategies, such as the Lagos Plan, formulated by African governments over ten years ago. Food production and strong regional institutions should become the focus for development. The environment should also be a major focus in this new direction. Fostering local participation, food self-sufficiency, strong regional institutions and co-operation, and efforts to improve the environment will bring new confidence in the people as they work collaboratively toward this new development process.
 
Try to look at this and then continue with your discussion

At the nation's independence, the country's leaders proclaimed ignorance as an enemy of progress, together with poverty and disease. Strategies were laid, plans were drawn and investments were made to expand education in the country. Tanzania witnessed an unprecedented development of primary and secondary schools, as well as the establishment of its first university. Primary education was made universal, schools were built in every village and adult education was supported to impart literacy to the many unfortunate citizens who had never seen the inside of a classroom. The result was high enrolment in primary schools and remarkable literacy rates in the country, as well as an increased number of professionals and technicians. Tanzania was one of the countries with the highest literacy rates in Africa, reaching 98 per cent by the mid-1980s.

However, this achievement could not be sustained as a result of economic hardship caused by increased oil prices, high levels of debt servicing, hunger, drought and overall poor economic performance. In response to the implementation of structural adjustment programmes, the Government introduced cost-sharing measures, froze recruitment of teachers and reduced overall spending on education. These measures led to a shortage of teaching and learning materials, non-maintenance of school infrastructure, discontinued classroom construction, as well as a shortage of teachers. These effects resulted in low enrolment, high dropout rates, low performance at national examinations, dilapidated buildings, an uncomfortable learning environment and a decline in completion rates. Cost-sharing had negative effects on the education system, especially for orphans and children from low-income families and vulnerable groups, such as street children, who could not afford to pay school fees and other mandatory contributions. As a result, the net enrolment rates declined from 67.6 per cent in 1985 to 57 per cent in 2000.
 
Augustine Moshi,
My argument wasn't about how many Form six graduated in 1974, but U wrote -That was the number of graduates produced per year from 1974..What I know is that in a span of 10 yrs between 1967 and 1976, UDSM enrolments alone tripled..Now if 1,800 was the magic number for Nyerere, then how came UDSM enrolment in 1976 reached over 2100!..without including those at DSA (NAD2) IFM, Sokoine, and other institution..
I've said all along that Nyerere's education policy favouring growth of primary at the expense of secondary education was a mistake..I don't have to be a scientist or mathematician to figure out that by doing so, the number of high school graduates qualifying for higher education was constrained..
Do I complain?.. hell no.. he had the best students at University (wasn't one of them) while today money buys your education..And still we face the same problem..There is high rate of drop out between lower and upper secondary schools due to limited upper secondary schools places for good students who can't afford..To be pricise the number range between 70 to 80% drop out.. This is scary bob!
We bleeding the nation of Kabuntas!.... 'cause to my belief Government high schools and University takes the best ones while those Private ones - even Mkandara will graduate with honors..Haaa haaa haa!
 
😡

Nyie wajamaa acheni kupiga kelele. Moshi anatoa hard data na bado mnakataa.

Mwinyi na Mkapa walikuwa wanatumia zaidi ya 250 Milioni kwa mwaka kulipa madeni ya nje. Hiyo ni robo ya mapato ya serikali.

Wao wangeweza kusomesha vipi au kufanya mambo gani mapya wakati wanalipa madeni.

Watu mliozoeshwa bure hamna mpango.

Kwa maana nyingine Mwalimu alikuwa halipi madeni ya nje!!!! ha ha ha ha we ndiyo bado kweli kweli!!!! Mwalimu kalipa madeni chungu nzima, kasaidia nchi majirani ambazo zilikuwa bado ziko chini ya wakoloni kama Zimbabwe, Msumbiji, Angola, Namibia kapigana vita na nduli Idi Amin na kutumia mapesa chungu nzima na bado elimu yetu haikutetereka enzi za Mwalimu kama wakati wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Kama hujui uliza usitoe vitu ambavyo havina ukweli wowote!!!! Duh!!!! Na pia ukae ukijiua kumtetea Mwalimu si kutetea ujamaa bali ni kutetea sera ambazo ziliwasaidia Watanzania walio wengi na hawa waliofaidikia na sera hizo kwa mfano elimu wenyewe wanaweza kuthibitisha hilo, kwamba bila ya sera za Mwalimu katika elimu wasingewza kuipata elimu waliyokuwa nayo na hili siyo siri bali ndiyo ukweli wa mambo!!! Kwenye ukweli siku zote uwongo hujitenga!!!
 
Reasons for not expanding secondary education at rapid parce during Nyerere's period
(i)There was delibarate rationing of secondary schooling as part of the government effort to coordinate student enrollment with the nation’s man power development
-But remember education was competitive for the poor and the rich. The government paid all the costs for schooling even for community schools the goverment subsdized heavily
(ii) The was expansion of Technical schools andvocational training
(iii) Need for man power to revolutionalize agriculture however many Tanzanias were not ready to work in farms, all wanted to be employed!
(iii) There were also other social need to deal with at the time

Please find attached file and try to look on the figures and continue debating
 
Attachments

Andindile,
World Bank data for 2000 indicate that Kenya's gross domestic product was $10.4 billion, and that it had an external debt of $6.34 billion. For the year 2000, debt servicing and interest payments total $706 million flowing out of Kenya to its creditors. Also in 2000, Kenya's exports of goods and services totaled $2.84 billion, compared to imports of $3.57 billion. In other words, Kenya suffered, in this area, a net deficit of $737 million. Kenya's current account balance, which is an indicator of foreign transactions on its income, for 2000 stood at –$326 million. Of Kenya's $6.34 billion international debt, $2.61 billion (41%) is owed to the World Bank and the IMF.

The numbers are even worse for Tanzania. Tanzania's GDP is $9.0 billion and it has an external debt of $7.1 billion. In the year 2000, Tanzania paid a total of $213 million in debt service. Debt servicing and interest payments combine for a total of $250 million flowing out of Tanzania. In 2000, Tanzania's exports of goods and services totaled $1.33 billion, compared to its imports of goods and services of $2.15 billion. In other words, Tanzania suffered, in this area, a net deficit of $819 million. Tanzania's current account balance for the year 2000 stood at –$827 million. The World Bank and the IMF claim $2.93 billion (41%) of Tanzania's $7.1 billion international debt.

Mkuu shukran sana.. ama kweli sisi miafrika ndivyo tulivyo..Ebu tazameni madudu ya kenya hapo juu....yaani Augustine kawasifia Kenya Elimu utadhani elimu yao ina manufaa kumbe ni yale yale..Tunasoma kuiga (fashion) sio kuelimika..
 
andindile,

mkuu shukran sana.. Ama kweli sisi miafrika ndivyo tulivyo..ebu tazameni madudu ya kenya hapo juu....yaani augustine kawasifia kenya elimu utadhani elimu yao ina manufaa kumbe ni yale yale..tunasoma kuiga (fashion) sio kuelimika..

lol!! 🙂
 
Zakumi;

Bado huko kwenye emotional arguments na sio rational arguments. Mijadala kama hii sio mafundisho ya madrasa, kipa imara au Sunday school. Ni lazima utoe points na umbatanishe facts.

- By the way: In the near future jaribu kuwa na heshima na dini zisizokuhusu au za wananchi wengine, ndio maana sasa ninasema hivi either wewe ni limbukeni au huna elimu kabisa, kwa sababu kama ungekua na elimu japo kidogo, basi kwanza ungeheshimu dini za wengine, na pili ungekua unajua kuwa masomo yanayohusu Madrasa, Kipa imara na Sunday School huwa yanafundishwa kwa dataz za Either Yesu au Mtume Mohamed na Mungu mwenyewe, kwa hiyo hapa sio tu kwamba huna hoja ila hata elimu yako ni ya wasi wasi kama unayo kweli,

- Lakini one thing next time jaribu sana kuheshimu dini za wananchi wengine, mimi ni Christian na I am offended, ni matumaini yangu kwamba utaliona hilo na kufanya the right thing.

Fact: Between 1971-1981 Tanzania was the largest recepient of foreign aid. Hivyo bila ya misaada ya wahisani Nyerere asingeweza kujenga shule na unachotakiwa kuanzia sasa ni kuwashukuru wahisani.

- Tizama sasa, unasema shule zilijengwa na wahisani na sio Mwalimu, yaani huwezi hata ukaelewa kwamba kama sio Mwalimu kuwa rais tusingepewa ile misaada? Hivi hujui kwamba under Mwinyi hao wahisani waliikata hiyo misaada na mpaka sasa bado wanasita kuielta kwa sababu ya kutowaamini viongozi wetu? Muheshimu Mwalimu mkuu, achana na hizi data zilizoandikwa na haters wake, mlaumuni Mwalimu kwa mengine lakini sio la elimu.

Respect.

FMES!
 
..watu wakizungumza bila data mnawalaumu. wakiamua kuleta data mnageuza kibao mnasema zimeandaliwa na 'haters' wa Mwalimu.

..tufike mahali tukubali ukweli kwamba mfumo wetu wa elimu tangu enzi za Mwalimu unapoteza wanafunzi wengi sana kabla hawajafika chuo kikuu.

..enrollment ktk primary schools ni nzuri, lakini tuna wanafunzi wachache sana ktk shule za sekondari, chuo kikuu, pamoja na vyuo vingine vya elimu ya juu.

FMES said:
Hivi hujui kwamba under Mwinyi hao wahisani waliikata hiyo misaada na mpaka sasa bado wanasita kuielta kwa sababu ya kutowaamini viongozi wetu?

FMES,

..Tanzania ilikatiwa misaada kwa mara ya kwanza wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere.

..baada ya kuingia Mzee Mwinyi na kukubaliana na masharti na maelekezo ya IMF na WB wahisani wakarudisha tena misaada.

..ikafika mahali Mzee Mwinyi akajisahau. yeye na serikali yake wakajitumbukiza kwenye ufisadi na uzembe wa kutokukusanya kodi. wahisani wakaamua kutukatia tena misaada wakimshinikiza Mzee Mwinyi amuondoe waziri wake wa fedha Prof.Malima.

..Mkapa ndiye aliyekuja kurudisha tena imani ya wahisani kwa serikali yetu kwa juhudi zake za kulipa madeni, kudhibiti mfumuko wa bei, na kuruhusu wawekezaji wa nje.
 
Back
Top Bottom