Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

Sababu kubwa ni kwamba January ni mnjamjanja, pia amekua mwepesi wa kutafuta justifications badala ya solutions kwenye matatizo yanayo wagusa waTanzania wenye maisha ya chini moja kwa moja.

Ni waziri kijana anaedhani kwamba anaakili na yupo smart na anawaona waTanzania kama mazuzu.

Nimeona nieleze kwa kifupi kabisa.
Huyu ni mtoto wa mjini!! mtaalam wa figisu figisu na njia za panya! Ujanja ujanja mwingi lakini delivery kidogo!! Ni wa aina ya "kama ni mbwai na iwe mbwai"! Ukimweka pembeni anakuwekea visasi!!
 
Back
Top Bottom