Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

January Makamba? Hizi ajira zimepotelea wapi? Kwani umazizuia?​

 

Attachments

Haaminiki kwasababu haimudu wizara hivyo anawahadaa wananchi kwa kusema uongo! He does not deliver and he is not trustworthy!
Kwa nini unadhani mkuu wa nchi kamwacha tuu hapo huku madudu mengi yakizidi kubainishwa, Mfano, uagizaji wa nguzo za umeme nchi za nje ili hali tunaviwanda sasa ambavyo vinazalisha nguzo bora kabisa kwa mjibu wa shirika la viwango nchini TBS?
 
Kwa nini unadhani mkuu wa nchi kamwacha tuu hapo huku madudu mengi yakizidi kubainishwa, Mfano, uagizaji wa nguzo za umeme nchi za nje ili hali tunaviwanda sasa ambavyo vinazalisha nguzo bora kabisa kwa mjibu wa shirika la viwango nchini TBS?
January kawekwa hapo kwa maslahi mapana ya wahuni ili wizara hiyo iwe conduit ya kuibiwa hela za kutumiwa na mtandao wa Kikwete kwenye chaguzi zijazo! Samia is a party to the CABAL hence her inaction!
 
Hii wizara tukiacha ukabila na udini Kalemani alipaweza sn kupita kiasi hata kama alikuwa na madhaifu yake lakini siyo kama Makamba
Kalemani hamna kitu mbona alikuwa hana kauli nakumbuka aliwahi kutoa siku 14 gesi ishuke bei kesho yake ikapanda bei unawezafanya vizuri ila ukiwa mpole sana ni tatizo
 
Familia tatu
 
MakambΓ  ameutikisa Sana uchumi wa nchi Hadi umeparaganyika Tena anasema "Tanzania hatuzalishi mafuta" kumbuka serikali zote duniani na mawaziri wanaochukua credit katika nyadhifa zao Ni uwezo was kuwa innovative na kusolve changamoto za wateja( clients)wanaotegemea huduma yako,Sasa kwa makambΓ  yote Ni kinyume,Hana solution yeyote Kama waziri mwenye dhamana,ukimpeleka kwenye umeme Ni majanga tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, ukimpeleka kwenye mafuta nako Ni shida tupu Sasa unasema "Tanzania hatuzalishi mafuta" uwezo wake unekomea hapo ,komaeni na shida zenu Hana rescue alternative,Sasa unampendaje mtu was hivyo.mama naye kung'ang'ana na makambΓ  utadhani yeye makambΓ  ndiyo mtanzania pekee mwenye akili,tumbulia mbali huyo waje wenye solution za matatizo ya nchi,hiyo wizara imemzidi kimo,yeye ( makambΓ ) Ni Francis cheka na wizara ya nishati Ni Evander Horrifield huo mpambano ,matokeoa yako wazi tu ,Ni makambΓ  kula za uso mpaka chini,
 
Kabisa Mkuu..unajua ukiwa karibu na mkubwa kabisa mtu mwingine unaona hata nambia Nini huyu
 
Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu, hata kichaa hujifunzia kunyoa!

Tuna mawaziri ambao hawapaswi kuwepo Ofisini kwa jina la waziri kama Makamba n.k
 
Viongozi wa Tanzania kuachia .adaraka ni sawa na kupe kujitoa kwenye kinena cha ng'ombe
 
Huyu jamaa! Anapenda kufanya tusiyataka kama nchi, kwa nini.....?
 
Wasiompenda Makamba ni team Sukuma gangster sababu ya chuki binafsi
 
Wasiompenda Makamba ni team Sukuma gangster sababu ya chuki binafsi
Hili jina hata mbowe hataki watu wake walitumie, maana limebeba mamiloni ya watu ambayo pia wanaleta hofu kwenye chaguzi zijazo!

Siku nyingine usiite hivyo, Bali jenga hoja yako tuu utaeleweka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…