Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Kiukweli elimu yetu vyuoni tunazingua sana ase. Kuanzia Serikali, Lecturers hawapo serious na sisi wanafunzi hatupo serious pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida kukomoana kaka, na kujiona miungu watu!Nina mtazamo tofauti na wengi humu. Nimesoma UDSM pia University of Oslo Norway (moja ya vyuo bora ulimwenguni) na nimegundua yafuatayo:
1. hakuna tofauti kubwa ya elimu kati yetu na wao
2. elimu yao ni nyepesi mno. assignment ziko rahisi rahisi si kama zetu
3. mitihani yao nyanya sana
4. nilipresent proposal yangu lakini ukosoaji haukuwa mkubwa. lakini proposal hiyohiyo nilipresent Bongo na wahadhiri wakaikosoa kisawasawa (na ukosoaji wao niliona una Mantiki)
kiukweli wahadhiri wa UDSM wanakaza kwelikweli(sijui kwa vyuo vingine)
HITIMISHO
madai ya kuwa elimu ya Tanzania (elimu ya Juu) ni mbovu hayana ukweli wowote. changamoto zipo kama vile teknolojia, internet na mengineyo. lakini tukumbuke tuko dunia ya tatu