mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hizo chanjo za majaribio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wenye biashara za kuvuka mipaka watachanja chanjo. Vivyo hivyo kwa wengine wote wenye issues za kusafiri nje ya TZ pia watachanja chanjo fasta.Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19,
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania
Mapendekezo yangu
1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Nakubaliana naweKuna watu wanapotosha ili kuogopesha watu,tusiwasikilize chanjo ni muhimu kwa wakati huu.View attachment 1792672
He he huu ugonjwa ni hatari sanaMatahila ndio maana
Kweli kabisa Mkuu na huu ndio upumbavu na ujinga unaoendele kutumaliza na kututesa ,na sababu kuu kutojuaUtasikia mtu anakuja na hoja dhaifu kabisa kuwa eti chanjo ina lenga kutumaliza waafrika wakati karibu 80% ya dawa zilixopo mahospitalini mwetu zinatoka huko, hao wazungu wakitaka kufanya hivyo si watafanya tu hata kwenye ARVs!!? Watu wamekuwa brainwashed sana na jiwe kuu la pembeni.
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19,
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania
Mapendekezo yangu
1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Yaani hawajui hata wanacholaumu.Utasikia mtu anakuja na hoja dhaifu kabisa kuwa eti chanjo ina lenga kutumaliza waafrika wakati karibu 80% ya dawa zilixopo mahospitalini mwetu zinatoka huko, hao wazungu wakitaka kufanya hivyo si watafanya tu hata kwenye ARVs!!? Watu wamekuwa brainwashed sana na jiwe kuu la pembeni.
serikali ndio wakati wake kuchukua Maamzi ya kitalaamu bila kujali na uzuri zaidi Mama yuko na Mawazo chanyaWalikaririshwa, wakakariri sasa wanakiimba wasichokijua...
Wengi kwa sababu ya "...ulofa na..." hawatambui wanataka nini na wanadhani Tanzania ni kubwa kuliko dunia...
Hao wengi mnawahesabia Lumu
Ni uelewa MkuuUtasikia mtu anakuja na hoja dhaifu kabisa kuwa eti chanjo ina lenga kutumaliza waafrika wakati karibu 80% ya dawa zilixopo mahospitalini mwetu zinatoka huko, hao wazungu wakitaka kufanya hivyo si watafanya tu hata kwenye ARVs!!? Watu wamekuwa brainwashed sana na jiwe kuu la pembeni.
Siyo Wa-TZ wengi wanaopinga. Ni wale waliolishwa "tango poli" na mwendazake. Mu-Tz mwelevu hawezi kupinga chanjo.Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19,
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania
Mapendekezo yangu
1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
SAWA WALETE WASIJE WAKALETA MZIGO UTAKO EXPIRE PASIPO KUTUMIKA, NI HASARA KWA TAIFAShida iko wapi? Chanjo iletwe anayetaka atumie asiyetaka aache. Tusiwanyime watu fursa ya Kinga kwa hofu zetu