ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Iko vile !Changamoto kubwa, wabunge wa ccm hawana credibility kwenye masuala ya leadership anakosa amweke nani anaona afadhali ya Jana , inasikitisha sana kuwa na wabunge zaidi ya mia tatu halafu walio na credibility ya leadership hawazidi kumi
Wanajua mbinu za kibabe kushinda uchaguziKwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena
Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa Magufuli?
Mtanikumbuka ππ
Mlale Unono π
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA
Leadership is not like walking to the park !Yaani JPM alikuwa na akili na mtu wa haki? Kazi ipo
Amechanganyikiwa..Mama amechanganyikiwa.
..Kabudi atafanyaje kazi na Johari?
..Johari ndio kinara wa DP W na mkataba uliokuwa kinyume na sheria ya ulinzi wa rasilimali za taifa.
JkπHatimaye mstaafu atastaafu Rasmi.
Huo ni mtizamo wako, kila mtu anaweza kuwa na mtizamo wake.Leadership is not like walking to the park !
Wakikujua wateule upo hivyo watakuchezea sana !
JPM katika mengi alikuwa sahihi na katika machache alikosea pia !
kwani uoni yanayoendelea?Shujaa jpm!?
Labda kwa ukoo wako.
Kwa hiyo wewe ndiye hujakaririshwa kwa kuwa una mtizamo tofauti na wangu? Punguza ujuaji na heshimu mitizamo ya raia wengine. Kwamba JPM hakuwa na matatizo, tena alikuwa na matatizo mengi na megine unashindwa kujua ni kwa nini anaamua kufanya huo utoto. Anyway alikuwa na mazuri yake machache na bado aliamu kuyafanya kwa njia isiyo sahihi hata kidogo. Mungu aendelee kumpa pumziko la milele.Wewe si umekaririshwa na Team za mchongo. Akili umekabidhi watu na hataki kufkir kabsa. Watu wakisema Flani mbaya na wewe unafuata mkumbo tu.
Mbeya kuna nn?Wanazika habari za Mbeya ili tuanze kudiskasi mateuzi this time NO!
Boyz2men Vs Iron lady, gloves are off, mpambano ndio kwanza unaanza.Hatimaye mstaafu atastaafu Rasmi.
Sawia kbs ni mtu wa haki na mwenye akili nyingi mzalendoYaani JPM alikuwa na akili na mtu wa haki? Kazi ipo
Hii kama ni kweli nami nitakuwa upande wa Iron Lady kwa nguvu zote !!Boyz2men Vs Iron lady, gloves are off, mpambano ndio kwanza unaanza.
Yaani mtu alishaga kufa kitambo lkn Jina lake Bado ni gumzo tu! Kuna watu walizaliwa na baraka zao. RIP JEMBEUchaguzi 2025 , timu ya ushindi ni Jina la Magufuli
Tundu Lisu: Shujaa Magufuli alisingiziwa mengishujaa wa familia yako , wew na mke wako na watoto wako
Lini hii imetoka na wapi, na ikikuwa wakati magharib au alasiriTundu Lisu: Shujaa Magufuli alisingiziwa mengi
ππππππΉ