Kwanini watoto wa kike hasa Gen Z wazito kuanzisha salamu?

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
2,021
Reaction score
4,488
Mambo vipi wakuu?

Kuna sehemu bhana nilikuwa napata breakfast asubuhi hii mara pah wakaja wasichana wawili kwenye meza niliyokaa wakaa wakanilia buyu hawakutoa ata salamu na mi nikapiga kimya maana hauwezi salimia mtu aliyekukuta itakuwa maajabu, baada ya dk 10 wakaibuka wengine wawili nao wakapiga buyu hawa wote wanafahamiana wana matshirt ya benki yenye brand color ya kijani ni wale vijana wa direct sales.

Siwalaumu maana kutoa salamu kwa mtu uwa sio lazima ila kwangu uwa naona haijakaa sawa kuna vitu vingi mtu unaweza kosa kisa salamu tu na hizi tabia wanazo sana watoto wa kike wa Tanzania yaani wanaona jukumu la kuanzisha salamu ni wanaume ata wakikuta na hii usikute imesababishwa na wanaume wengi walivyowazoesha hii ni shida sana.
 
Tokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.

MLeta mada bora umnyime pesa kuliko salamu
 
Tokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.

we kulwa we, enh!
 
Kwani wangekusalimia ulikuwa umepanga kuwapa nini
ni ustaarabu tu wa kitanzania tukikutana salamu na madeal na issues nyingine uweza kutokea ,kuna mama aliokoa nyumba yake isipigwe mnada kisa kwenye SGR alianzisha na maongezi tu na jamaa bila kujua kumbe ni katibu mkuu wizara ya ardhi,salamu we unaichukulia poa ,haujawahi potea sehemu kisa kukwepa tu kuwapa salamu wenyeji ?
 
Tokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.

kwa iyo unahisi mimi sina kazi ?nina kazi nzuri tu acha dharau
 
Mambo vipi wakuu?

Kuna sehemu bhana nilikuwa napata breakfast asubuhi hii mara pah wakaja wasichana wawili kwenye meza niliyokaa wakaa wakanilia buyu hawakutoa ata salamu na mi nikapiga kimya maana hauwezi salimia mtu aliyekukuta itakuwa maajabu, baada ya dk 10 wakaibuka wengine wawili nao wakapiga buyu hawa wote wanafahamiana wana matshirt ya benki yenye brand color ya kijani ni wale vijana wa direct sales.

Siwalaumu maana kutoa salamu kwa mtu uwa sio lazima ila kwangu uwa naona haijakaa sawa kuna vitu vingi mtu unaweza kosa kisa salamu tu na hizi tabia wanazo sana watoto wa kike wa Tanzania yaani wanaona jukumu la kuanzisha salamu ni wanaume ata wakikuta na hii usikute imesababishwa na wanaume wengi walivyowazoesha hii ni shida sana.
Ni kweli kabisa, isipokuwa naona watoto wa kiume ni wajeuri zaidi.
 
Tokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.

😂😂
 
Kusalimia kila muda inachosha na watu wamegundua sio lazima kusalimiana dunia ya sasa ambayo kila mtu yuko busy na mambo yake
Pia kuna ongezeko la watu ambao hawaitikii salamu. Sometimes unaona ni heri tu uache kusalimia
 
kutoa salamu umemkuta mtu sehemu inachosha ila mkipata shida mnaanza kutusumbua na kusalimia watu hamsalimii,fursa nyingi uletwa na mahusiano mazuri na salamu ni sehemu ya mahusiano mazuri tofauti na wewe unavyoitafsiri,
 
Tokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.

Itakuwa pesa ashapata, bado salamu🤣🤣🤣
 
ni ustaarabu tu wa kitanzania tukikutana salamu na madeal na issues nyingine uweza kutokea ,kuna mama aliokoa nyumba yake isipigwe mnada kisa kwenye SGR alianzisha na maongezi tu na jamaa bila kujua kumbe ni katibu mkuu wizara ya ardhi,salamu we unaichukulia poa ,haujawahi potea sehemu kisa kukwepa tu kuwapa salamu wenyeji ?
braza kwema lakini
 
Back
Top Bottom