Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Watu huwajui una lazimisha salamu. Lengo ni ili uwazoe au. Acha habari hizo mzee salamu sio lazima wala eti usimchukie mtu kisa hajakusalimia. Huo utaratibu weka kwenye familia yako. Wengine achana nao.
Imekukaa kooni ukashindwa kuvumilia imebidi uje uteme mapovu jamii forum.
Imekukaa kooni ukashindwa kuvumilia imebidi uje uteme mapovu jamii forum.