MLeta mada bora umnyime pesa kuliko salamuTokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.
Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa?
Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani kuanza kumpa salamu ata kama kakukuta sehemu , maana navyojua mtu anapokukuta sehemu yeye ndo anatakiwa kukupa salamu na sio yeye afike na kukaa kimya kisha wewe ndo umpe salamu
Hii kitu nimeishuhudia mara kwa mara tangu nizaliwe hadi sasa , hii kitu imekuwa ikinikuta mara kwa...
- RoadLofa
- haki kutoa salamu wasichana wengi
- Replies: 38
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
we kulwa we, enh!Tokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.
Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa?
Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani kuanza kumpa salamu ata kama kakukuta sehemu , maana navyojua mtu anapokukuta sehemu yeye ndo anatakiwa kukupa salamu na sio yeye afike na kukaa kimya kisha wewe ndo umpe salamu
Hii kitu nimeishuhudia mara kwa mara tangu nizaliwe hadi sasa , hii kitu imekuwa ikinikuta mara kwa...
- RoadLofa
- haki kutoa salamu wasichana wengi
- Replies: 38
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
ni ustaarabu tu wa kitanzania tukikutana salamu na madeal na issues nyingine uweza kutokea ,kuna mama aliokoa nyumba yake isipigwe mnada kisa kwenye SGR alianzisha na maongezi tu na jamaa bila kujua kumbe ni katibu mkuu wizara ya ardhi,salamu we unaichukulia poa ,haujawahi potea sehemu kisa kukwepa tu kuwapa salamu wenyeji ?Kwani wangekusalimia ulikuwa umepanga kuwapa nini
kwa iyo unahisi mimi sina kazi ?nina kazi nzuri tu acha dharauTokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.
Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa?
Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani kuanza kumpa salamu ata kama kakukuta sehemu , maana navyojua mtu anapokukuta sehemu yeye ndo anatakiwa kukupa salamu na sio yeye afike na kukaa kimya kisha wewe ndo umpe salamu
Hii kitu nimeishuhudia mara kwa mara tangu nizaliwe hadi sasa , hii kitu imekuwa ikinikuta mara kwa...
- RoadLofa
- haki kutoa salamu wasichana wengi
- Replies: 38
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Ni kweli kabisa, isipokuwa naona watoto wa kiume ni wajeuri zaidi.Mambo vipi wakuu?
Kuna sehemu bhana nilikuwa napata breakfast asubuhi hii mara pah wakaja wasichana wawili kwenye meza niliyokaa wakaa wakanilia buyu hawakutoa ata salamu na mi nikapiga kimya maana hauwezi salimia mtu aliyekukuta itakuwa maajabu, baada ya dk 10 wakaibuka wengine wawili nao wakapiga buyu hawa wote wanafahamiana wana matshirt ya benki yenye brand color ya kijani ni wale vijana wa direct sales.
Siwalaumu maana kutoa salamu kwa mtu uwa sio lazima ila kwangu uwa naona haijakaa sawa kuna vitu vingi mtu unaweza kosa kisa salamu tu na hizi tabia wanazo sana watoto wa kike wa Tanzania yaani wanaona jukumu la kuanzisha salamu ni wanaume ata wakikuta na hii usikute imesababishwa na wanaume wengi walivyowazoesha hii ni shida sana.
😂😂Tokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.
Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa?
Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani kuanza kumpa salamu ata kama kakukuta sehemu , maana navyojua mtu anapokukuta sehemu yeye ndo anatakiwa kukupa salamu na sio yeye afike na kukaa kimya kisha wewe ndo umpe salamu
Hii kitu nimeishuhudia mara kwa mara tangu nizaliwe hadi sasa , hii kitu imekuwa ikinikuta mara kwa...
- RoadLofa
- haki kutoa salamu wasichana wengi
- Replies: 38
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
kutoa salamu umemkuta mtu sehemu inachosha ila mkipata shida mnaanza kutusumbua na kusalimia watu hamsalimii,fursa nyingi uletwa na mahusiano mazuri na salamu ni sehemu ya mahusiano mazuri tofauti na wewe unavyoitafsiri,Kusalimia kila muda inachosha na watu wamegundua sio lazima kusalimiana dunia ya sasa ambayo kila mtu yuko busy na mambo yake
Pia kuna ongezeko la watu ambao hawaitikii salamu. Sometimes unaona ni heri tu uache kusalimia
Itakuwa pesa ashapata, bado salamu🤣🤣🤣Tokea 2022 unalalamika kuliwa buyu, ukiachana na kutafuta salamu umejaribu kutafuta hela mkuu.
Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa?
Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani kuanza kumpa salamu ata kama kakukuta sehemu , maana navyojua mtu anapokukuta sehemu yeye ndo anatakiwa kukupa salamu na sio yeye afike na kukaa kimya kisha wewe ndo umpe salamu
Hii kitu nimeishuhudia mara kwa mara tangu nizaliwe hadi sasa , hii kitu imekuwa ikinikuta mara kwa...
- RoadLofa
- haki kutoa salamu wasichana wengi
- Replies: 38
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
braza kwema lakinini ustaarabu tu wa kitanzania tukikutana salamu na madeal na issues nyingine uweza kutokea ,kuna mama aliokoa nyumba yake isipigwe mnada kisa kwenye SGR alianzisha na maongezi tu na jamaa bila kujua kumbe ni katibu mkuu wizara ya ardhi,salamu we unaichukulia poa ,haujawahi potea sehemu kisa kukwepa tu kuwapa salamu wenyeji ?