sina miaka 60 itakuwa poa nikifika iyo miaka,we mwenyewe ukienda ofisi ya watu au kukutana na mtu face to face unaatoa salamu ila hapa unajifanya hauelewi nilichoongeaMtoa mada utakua na miaka 60 maana hata wenye miaka hamsini sasahivi hawalilii salamu
Mtu unaacha kuishi maisha yako unasubiri salamu jinga sana
Huu utamaduni wetu unawapa mzigo sana vijana wadogo. Sikuhizi Bongo tuko milioni 70, watu wazima wamejaa kila kona na sikuhizi kuna watu wengi ambao hawataki salamu. Yani inachosha sana, Ni usumbufu kwa vijanaiyo sasa shida ,kwa mtu aliyekuzidi sana umri unatakiwa umpe tu shikamoo yake ndo utamaduni wa kitanzania ata wazungu wanatamaduni zao shida wabongo ujuaji tunadanganyana sana. wazungu wenyewe tamaduni zao kibao hawajaziacha
Nina miaka 22, ni mahali ambapo bado unatoa salamu sana lakini na wewe unazipokea sana, kwahiyo naona!Kusalimiana sidhani kama ni utamaduni mbaya.
kumbe katoto kangu kabisa🤣Nina miaka 22,
Sasa si bora wewe! Sie tunaojulikana ni walimu yaani hadi wazee wanakupa shikamoo. Mwanzo nilikuwa nashangaa, ila now days hata siwazi, nazipokea tu.ni mahali ambapo bado unatoa salamu sana lakini na wewe unazipokea sana, kwahiyo naona!
Unapita kwenye kimtaa kimejaa watoto wanacheza, wote wanakushambulia; "Shkaoo, shkaoo, shkaoo..."
Mtoaji na mpokeaji wote huteseka.
Same experience. Except, nina miaka 20Nina miaka 22, ni mahali ambapo bado unatoa salamu sana lakini na wewe unazipokea sana, kwahiyo naona!
Unapita kwenye kimtaa kimejaa watoto wanacheza, wote wanakushambulia; "Shkaoo, shkaoo, shkaoo..."
Mtoaji na mpokeaji wote huteseka.
hahaakumbe katoto kangu kabisa🤣
Sasa si bora wewe! Sie tunaojulikana ni walimu yaani hadi wazee wanakupa shikamoo. Mwanzo nilikuwa nashangaa, ila now days hata siwazi, nazipokea tu.
Mkuu hapa umeshazungumzia mazingira tofauti, nikienda ofisi ya watu au kukutana na mtu salamu ni lazimasina miaka 60 itakuwa poa nikifika iyo miaka,we mwenyewe ukienda ofisi ya watu au kukutana na mtu face to face unaatoa salamu ila hapa unajifanya hauelewi nilichoongea
Mzee, heshima yako.iyo sasa shida ,kwa mtu aliyekuzidi sana umri unatakiwa umpe tu shikamoo yake ndo utamaduni wa kitanzania ata wazungu wanatamaduni zao shida wabongo ujuaji tunadanganyana sana. wazungu wenyewe tamaduni zao kibao hawajaziacha
Nina miaka 22, ni mahali ambapo bado unatoa salamu sana lakini na wewe unazipokea sana, kwahiyo naona!
Unapita kwenye kimtaa kimejaa watoto wanacheza, wote wanakushambulia; "Shkaoo, shkaoo, shkaoo..."
Mtoaji na mpokeaji wote huteseka.
Naomba muwe mnaniamkia kila mkiniona hapa JF maana nina umri kama wazazi wenu.Same experience. Except, nina miaka 20
Salamu ni usumbufu
Marahabaaa! Hujambo mtoto mzuri?🤣hahaa
Kiswahili lugha yetu ya taifa,
Tupige vita UKIMWI,
SHKAMOO MWAALIM!!!
Shkaoo 😄 kuna ndugu yangu mpka aka niambia kama hutaki salimia bora uwe una acha tuuNina miaka 22, ni mahali ambapo bado unatoa salamu sana lakini na wewe unazipokea sana, kwahiyo naona!
Unapita kwenye kimtaa kimejaa watoto wanacheza, wote wanakushambulia; "Shkaoo, shkaoo, shkaoo..."
Mtoaji na mpokeaji wote huteseka.
Mjini salamu sio muhimu labda uwe na shida na huyo mtu.Mambo vipi wakuu?
Kuna sehemu bhana nilikuwa napata breakfast asubuhi hii mara pah wakaja wasichana wawili kwenye meza niliyokaa wakaa wakanilia buyu hawakutoa ata salamu na mi nikapiga kimya maana hauwezi salimia mtu aliyekukuta itakuwa maajabu, baada ya dk 10 wakaibuka wengine wawili nao wakapiga buyu hawa wote wanafahamiana wana matshirt ya benki yenye brand color ya kijani ni wale vijana wa direct sales.
Siwalaumu maana kutoa salamu kwa mtu uwa sio lazima ila kwangu uwa naona haijakaa sawa kuna vitu vingi mtu unaweza kosa kisa salamu tu na hizi tabia wanazo sana watoto wa kike wa Tanzania yaani wanaona jukumu la kuanzisha salamu ni wanaume ata wakikuta na hii usikute imesababishwa na wanaume wengi walivyowazoesha hii ni shida sana.
Watoto wa shule bado wako innocent sana. Ninaamini walimu pasipokuwa na shaka wamefanya kazi yao ya kumfundisha mtoto namna ya kuchangamana na jamii; shida inaanza baada ya kumaliza masomo hasa ya vyuoni, wakifika uraiani unaona kabisa wamejifunza kiburi na ubinafsi uliopitiliza.Ukikutana na mtoto akakusalimia, unashangaa!
Kwahiyo taabu iko vyuoni!!Watoto wa shule bado wako innocent sana. Ninaamini walimu pasipokuwa na shaka wamefanya kazi yao ya kumfundisha mtoto namna ya kuchangamana na jamii; shida inaanza baada ya kumaliza masomo hasa ya vyuoni, wakifika uraiani unaona kabisa wamejifunza kiburi na ubinafsi uliopitiliza.
Pengine kuna utamaduni wa kutongoza tongoza ovyo, na mwanamke kukusalimia ndiyo kukufungulia mlango wa kumtongoza au kutaka kumzoea kirahisi.Mambo vipi wakuu?