Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
π π π πNani huyo ambaye akipata shida anaanza kukusumbua 2026 hii?
Wewe sema tu uko entitled na unapenda kusalimiwa, inakufanya ujisikie vizuri. Haya mengine ni visingizio tu
Wengi wana akili na malezi mabaya.Mambo vipi wakuu?
Kuna sehemu bhana nilikuwa napata breakfast asubuhi hii mara pah wakaja wasichana wawili kwenye meza niliyokaa wakaa wakanilia buyu hawakutoa ata salamu na mi nikapiga kimya maana hauwezi salimia mtu aliyekukuta itakuwa maajabu, baada ya dk 10 wakaibuka wengine wawili nao wakapiga buyu hawa wote wanafahamiana wana matshirt ya benki yenye brand color ya kijani ni wale vijana wa direct sales.
Siwalaumu maana kutoa salamu kwa mtu uwa sio lazima ila kwangu uwa naona haijakaa sawa kuna vitu vingi mtu unaweza kosa kisa salamu tu na hizi tabia wanazo sana watoto wa kike wa Tanzania yaani wanaona jukumu la kuanzisha salamu ni wanaume ata wakikuta na hii usikute imesababishwa na wanaume wengi walivyowazoesha hii ni shida sana.
Sitaki kuamini kuwa na wewe utakuwa mmoja wa wale wazee wanaolilia Shikamoo π πNaomba muwe mnaniamkia kila mkiniona hapa JF maana nina umri kama wazazi wenu.
Huwa sililii, ila zinatiririka zenyewe.Sitaki kuamini kuwa na wewe utakuwa mmoja wa wale wazee wanaolilia Shikamoo π π
Kabisa, kama salamu inawapa nguvu ya kufanya mambo yao basi wakawe walimu wa chekechea, watakuwa na nguvu mara dufu ππ π π π
Kama vipi akafundishe shule ya msingi atasalimiwa hadi akimbie.
Hapo sawaHuwa sililii, ila zinatiririka zenyewe.
Wakati mwingine huwa ni mawazo ya ngono ndo yanasababisha hata salamu iwe shida.Mambo vipi wakuu?
Kuna sehemu bhana nilikuwa napata breakfast asubuhi hii mara pah wakaja wasichana wawili kwenye meza niliyokaa wakaa wakanilia buyu hawakutoa ata salamu na mi nikapiga kimya maana hauwezi salimia mtu aliyekukuta itakuwa maajabu, baada ya dk 10 wakaibuka wengine wawili nao wakapiga buyu hawa wote wanafahamiana wana matshirt ya benki yenye brand color ya kijani ni wale vijana wa direct sales.
Siwalaumu maana kutoa salamu kwa mtu uwa sio lazima ila kwangu uwa naona haijakaa sawa kuna vitu vingi mtu unaweza kosa kisa salamu tu na hizi tabia wanazo sana watoto wa kike wa Tanzania yaani wanaona jukumu la kuanzisha salamu ni wanaume ata wakikuta na hii usikute imesababishwa na wanaume wengi walivyowazoesha hii ni shida sana.
Kabisa. Nadhani na kumiliki simu na access ya mitandao inawabadili tabia.Kwahiyo taabu iko vyuoni!!