Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Wasalaam

Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao.

Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba.

Niliwahi kwenda India ilinishangaza ambapo niliona ni ngumu kufanya contact na mtoto wa kike wa kihindi mfano Metro zao zina mabehewa ya Me na Ke yaani huruhusiwi kupanda behewa la treni la wanawake ni kosa.

Je hapa kwetu kuna haja ya kuwa na daladala za Ke na Me? Mabus nayo kadhalika ili kulinda tabia za mtoto wa kike.
 
Biashara matangazo anae uza lazima ajipige na atangaze
 
Back
Top Bottom