Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

Wasalaam

Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao.
Kwahiyo suluhisho la picha za utupu ni kuwa na usafiri kwa watu wa jinsia tofauti?
 
Wasalaam

Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao.

Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba.

Niliwahi kwenda India ilinishangaza ambapo niliona ni ngumu kufanya contact na mtoto wa kike wa kihindi mfano Metro zao zina mabehewa ya Me na Ke yaani huruhusiwi kupanda behewa la treni la wanawake ni kosa.

Je hapa kwetu kuna huja ya kuwa na daladala za Ke na Me? Mabus nayo kadhalika ili kulinda tabia za mtoto wa kike.
Yan unatolea mfano nchi yenye matukio mengi ya ubakaji na udhalilishaji wa wanawake!?
 
Nibalaa kabisa , hata kama ana kijiwe cha kuuza nguo yaani chini anavaa kichupi juu anabadiliosha fulana anapiga picha eti anazitangaza, kuna mmoja anauza nguo Sinza ana mtakoooo basi kinachouzwa pale sio nguo ni ule mtako , mara kageuka mara kajitingisha yaani strategy zimeisha kabisa sasa ni kuuza live
 
Ukiona uchi unabeba kalaana fulani kutoka kwa muhusika rejea watoto wa Nuhu baada ya kutoka kwenye safina, hamna njia rahisi kama ya kukutumia picha ya uchi ikiambatana na dua ya laana ya mtuma uchi
 
Dunia imelewa na sasa ina yumba yumba na kuwaya waya. Hii ina changia hata nguvu za kiume kupungua kwa wanaume wengi. Kwa kuwa kila siku wanaume wanaanagalia tupu za wanawake..
 
Wadada wanapenda sana picha. Sasa hii ya kupenda picha inawafanya wapige hata visivyohitajika.

Pia utandawazi ndio sababu kuu, kujitambua tu ndo suluhisho hiyo kutengajisha kwa jamii yetu hii ni kuleta matatizo mengine tu.
 
Back
Top Bottom