Kwanini watoto wa marais au viongozi ndio wanaharibu nchi?. Hili limeonekana nchi nyingi

Kwanini watoto wa marais au viongozi ndio wanaharibu nchi?. Hili limeonekana nchi nyingi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
 
Jiwe hakutaka haya mambo, pamoja na mapungufu yake, hili alilinda lisiwepo.
 
Back
Top Bottom