Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Nov 26, 2025 #1 Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,410 Reaction score 35,923 Nov 26, 2025 #2 Na huwa hawa jifunzi kwa maanguko ya wenzao hii ni nature kwani ukiwa kwenye raha uwezi jua ya ground kwa kutegemea kuambiwa
Na huwa hawa jifunzi kwa maanguko ya wenzao hii ni nature kwani ukiwa kwenye raha uwezi jua ya ground kwa kutegemea kuambiwa
Mbuta Likaso JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,414 Reaction score 10,555 Nov 26, 2025 #3 Usisahau Wake zao pia.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,220 Nov 26, 2025 #4 Ni huku africa tu labda na huko Asia.
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 3,248 Reaction score 6,146 Nov 26, 2025 #5 Jiwe hakutaka haya mambo, pamoja na mapungufu yake, hili alilinda lisiwepo.