Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Ndiyo huyo huyo alikuwa Lt colonelAndrew huyu anayeandika vitu visivyojulikana hapa jukwaani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo huyo huyo alikuwa Lt colonelAndrew huyu anayeandika vitu visivyojulikana hapa jukwaani?
Ukijua kuongea kingereza kilichonyooka ndiyo nn eti tujize mm mwanangu anaongea kingereza kilichonyooka anafaa kuwa raisi wakoNa Makongoro ni mwenyekiti wa chama wa mkoa na alishawahi kutaka kugombea urais.Ukisikia kingereza akiongea kimenyooka bila mawaa
Wakija nitag mkuuHahahaha ngoja waje.
Huyo Ni Mzee maarufu huko kwa wachongajiKwani Mzee Mchonga Ndio Nani Maana Kusoma Kwngu Kote Vitabu Sijawah Kuona Jina Kama Hili MZEE MCHONGA Nijuzeni Wajuzi Wa Mambo? Nawasilisha Swali Langu La Nyongeza
Anao?Wa Mkapa wana zipi
Duh... Pole SanaAnao?
Nyerere aliwapa wanae nafasi zile zile alizowapa watoto wakitanzania wengine. Hawakua na upendeleo maalum kwa wanawe ukiacha watu wengine kujaribu kuwapa kipaumbele. Angeweza kabisa kuwajengea na kuwapa hizo nafasi lakini yeye hakuwa muumini wa hicho kitu. Hata vita ya Uganda kuna watoto wake walioshiriki. Kwa ufupi hakuwapa upendeleo maalum.Wakuu naombeni mnijuze, licha ya kusoma sana na baba yao kuwa mpigania uhuru wa Taifa hili, kwanini watoto wa mzee mchonga wapo wapo tu, hawana nyadhifa kubwa, hawana mbele wala nyuma? Hali ni tofauti kwa watoto wa Mzee ruksa, Mzee Karume, JK na wengineo kwanini?
Naunga mkono hoja. Wengi wao wapo tu wanatunzwa na kodi zetu.Hiyo familia inaonekana watoto wa kiume wana matatizo kwenye afya ya akili.
Andrew nyerere wajf ?Mtoa mada kwa taarifa yako Anna,Pauleta ni wasomi wazuri tu na alishakuwa mhadhiri.Kaka yao mmoja Andrew alikuwa rubani wa ndege za jeshi.Kumbuka Makongoro ameshawahi kuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia NCCR
-mageuzi.Hali halisi ni kwamba baba yao aliwalea katika maadili ya ujamaa na kutojikweza.Ushauri wangu pambana na hali yako usichokonoe ya watu
Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji - JamiiForumsWanakula karma aliyotengeneza baba yao.