Si kweli, kidhi vigezo ni rahisi kutoboa Dubai kuliko West,
Si west wala si Dubai wanachukua Housemaid ambaye hata hajui Vitamin ni nini, kuwa professional wa Nutrition ya mtoto hata Dubai utalipwa mamilioni ya Hela,
Mfano Mfanyakazi wa Ufilipino minimum iliowekwa na Serikali yao Dubai analipwa Aed 2500 ambayo ni 1.5m ya kuanzia.
Majority ya Mabilionea wa Kihindi nje ya India Base yao ni Middle East, angalia zaidi Forbes
The business relationship between India and the Arab world goes back centuries. Some gulf countries even used the Indian rupee as currency before they gained independence. Today the Indian diaspora is the largest expat population in the Middle East.
www.forbesmiddleeast.com
Kama Middle East sio rahisi Kutoboa nitajie Sehemu nyengine yenye Mabilionea wengi zaidi wahindi.
Si tu Wahindi Warusi, waingereza wataliano na wengine wengi wanakwenda Dubai kwa ajili ya Opportunities, Dubai hawana Mafuta ila Real estate tu inawaingizia zaidi ya Trilioni 100 kwa mwaka,
As of July, 2022 real estate sales in Dubai touched AED 20.8 billion - up 61.7 percent over the corresponding period last year. Indians were on top of the list of buyers, according to a recent report.
www.moneycontrol.com
Hata huku Kwetu Africa viongozi ama matajiri wangapi wamewekeza Ulaya? Kama wapo wachache sana ila MO, Rostam, marehemu Mengi alifariki akiwa makazi yake Dubai, Marehemu Mugabe na wengine kibao waliwekeza vya kutosha huko, kwanini wewe mwenzangu na mimi unafikiri otherwise kuliko watu wenye Experience kukushinda wewe?