Kwanini watu duniani wanakimbilia Ulaya na Marekani kuliko China, Urusi na washirika wake?

Kwanini watu duniani wanakimbilia Ulaya na Marekani kuliko China, Urusi na washirika wake?

Mifano tofauti tofauti
1. Wewe ni mfanyabiashara una bidhaa zako unahitaji Dunia nzima wazione utavutiwa zaidi kwenda Dubai kuliko Ulaya.

2. Ni mwanafunzi unataka Elimu nzuri kwa Bei nafuu Urusi ina make sense zaidi st Petersburg Ada ni nafuu kuliko Oxford ama Havard, na haitofautiani sana na Kwetu wakati ni katika vyuo bora Duniani.

3. Wewe ni Tajiri unataka sehemu ambayo utaishi Elimu bora, Afya, na standard nzuri ya Maisha Uswis huko Kuna miji special ya hawa watu.

4. Ni mjasirimali una mpango wa kuanzisha biashara, viwanda, ama kutengenezewa Bidhaa sehemu kama China ni kuzuri.

5. Unapenda kusoma elimu ya Dini muisilamu Egpty ama Saudi, Mkristo Milan Catolica etc.


6. Mchezaji mpira utataka Best Academies kama Ajax Uholanzi etc

Issue ambayo haitaki kuzungumzwa hapa ni Uvivu, kutokua responsible, kupenda vya Bure, Tabia ambayo wa Africa wengi tunayo, mtu Anaetaka vya Bure Bure hawezi kuwaza kwenda China ama Brazil ila ukiwa Fighter utafuata dreams zako na kutoboa.
Takataka umeandika

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom