Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wachina wanashindana na wabongo kuuza urembo na earphones Kariakoo [emoji1787]Sasa ndugu yangu unataka watu wakimbilie kwenye nchi ambazo standard ya maisha ipo chini?
Tukubali ya kwamba ulaya magharibi na marekani ndiyo nchi zenye standard ya juu ya maisha. Viwanda vya kutosha kwahiyo kazi zipo na fedha ipo, huduma za kijamii zipo katika standard nzuri, sasa unataka mtu aende China wakati wachina wenyewe wanakuja kufanya biashara ya umachinga huku?