Najibu tu kwa Faida ya watu wengine.
1. Nchi za Ghuba ndio ziongoza kuwa na wageni wengi kuliko mwenyeji Duniani kote, unakuta mwenyeji wachache kuliko wageni. Ni kimbilio la watu wengi tu, Sema hawachukui watu kiholela
Saudi Arabia is not a party to the main global refugee protection instrument, the 1951 Refugee Convention, nor does it have any specific domestic legal framework pertaining to refugee issues. Thirty-five percent of Saudi-Arabia’s roughly 30 million inhabitants are not citizens – and many come from i
refugeehistory.org
Ukiangalia Hapo Saudi ina mamilioni ya Wakimbizi toka Rohingya, Syria, Palestine etc.
2. Watu wanakimbilia maeneo ambayo wanaendana Culture, nitakupa mifano
-wazanzibari na watu wa Pwani Tanzania wengi wanakimbilia Oman
-Nchi za Africa Magharibi na Kaskazini wanakimbilia Ufaransa na Ubelgiji
-Congo sana Ubelgiji
-sisi huku East Africa sana Uingereza na nchi nyengine za kingereza/Common wealth kama Canada, Australia, USA etc.
-Egpty tofauti na wa North Africa wenzao wapo kama Sisi
-Nchi za Asia ya mbali ufilipino, Malyasia, Thailand, Mynamar wanaenda Korea, China Japan etc.
-Nchi za Balkan wanakimbilia Urusi etc.
Leo Kuna Vita Ukraine na Urusi ila wa Ukraine wengi wamekimbilia Urusi kuliko nchi yoyote Ile.