Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Sijawahi kusikia mtu kafia baharini akitoroka kwenda kutafuta maisha China ama Russia,,,achana na kusafiri kufuata bidhaa za kichina,,,nazungumzia kwenda kutafuta maisha! China tamaduni zake ni dhaifu mno hakuna anaetamani kuiga hazimshawishi yeyote dunianiUnawajua wachina kweli au unawaskia tu?
Hii ndio akili ya kijinga watanzania waliyobaki nayo, kwa kadri unavyo concrete kujadili mambo ya hovyo na kijinga, ndivyo yanavyo ku mold kuwa hivyo. Kwa hiyo wote wanaokuja USA ni upinde?Inafuatana na unaenda kufanya Nini
kwasisi wafanya biashara......chimbo letu ni china
Kwa wale tulipiga military science .... school yetu ni Russia
Over
Swali Kwa nyie mnaenda USA ......are upinde?????[emoji23]
Watanzania hawana akiliHii ndio akili ya kijinga watanzania waliyobaki nayo, kwa kadri unavyo concrete kujadili mambo ya hovyo na kijinga, ndivyo yanavyo ku mold kuwa hivyo. Kwa hiyo wote wanaokuja USA ni upinde?
Hujaelewa madaInafuatana na unaenda kufanya Nini
kwasisi wafanya biashara......chimbo letu ni china
Kwa wale tulipiga military science .... school yetu ni Russia
Over
Swali Kwa nyie mnaenda USA ......are upinde?????[emoji23]
Kwa wa shamba kama wewe ndio hili jibu sahihi kwa uwezo ulipoishia, ila hao Diaspora wengi wakifika hizo nchi wanatoka na kwenda nchi ambazo Human index Development ni kubwa kama Nordic countries japo hali ya hewa si nzuri.Asikudanganye kenge yoyote !!!
Maisha yapo western Europe na America !!! Atake bisha abishe mpaka ajinyee ukweli ndio huo!!Matajiri wa urusi " oligarch" wanakaa ulaya na marekani.
Mfano ni aliyekua mmilikinwa Chelsea!!.
Niliwahi kwenda UK nikaishi Kule wiki 13,sikutamani kurudi Africa!!
Mkuu jaribu kwenda Russia n China uje utupe ushuhuda hapaKumekuwa na wimbi la watu kukimbia mataifa yao duniani kote hususani Afrika na wengine wakiwa tayari kufia baharini ili wafike Ulaya na Marekani.
Najiuliza kwanini watu hao hawakimbilii China, Russia na washirika wao? Wataalamu tujuzeni inakuwaje kila mtu anaona Ulaya na Marekani ni peponi kuliko mataifa mengine ya mashariki?
Leo umejibu kwa utulivu sana utadhani uliwahi kwenda Mecca!.... Nchi za Ghuba ndio ziongoza kuwa na wageni wengi kuliko mwenyeji Duniani kote, unakuta mwenyeji wachache kuliko wageni. Ni kimbilio la watu wengi tu, Sema hawachukui watu kiholela
Ulaya na marekani ndy pepo tunayoambiwaga bila shakaLeo umejibu kwa utulivu sana utadhani uliwahi kwenda Mecca!.
Turudi kwenye mada; suala siyo watu unaoendana nao kitabia au culture bali uhalisia wa kupata mkate mmoja na mwingine kwa urahisi ni western zone.
Huko sijui Dubai, Oman ni uongo mkuu utapiga maisha mpaka unakiona kiyama hutoboi, for instant housemate kutoka Africa aliyepo western huwezi mlinganisha na aliye Arabic zone.
Acha kabisa mkuu.Ulaya na marekani ndy pepo tunayoambiwaga bila shaka
Si kweli, kidhi vigezo ni rahisi kutoboa Dubai kuliko West,Leo umejibu kwa utulivu sana utadhani uliwahi kwenda Mecca!.
Turudi kwenye mada; suala siyo watu unaoendana nao kitabia au culture bali uhalisia wa kupata mkate mmoja na mwingine kwa urahisi ni western zone.
Huko sijui Dubai, Oman ni uongo mkuu utapiga maisha mpaka unakiona kiyama hutoboi, for instant housemate kutoka Africa aliyepo western huwezi mlinganisha na aliye Arabic zone.
Si kweli, kidhi vigezo ni rahisi kutoboa Dubai kuliko West,
Si west wala si Dubai wanachukua Housemaid ambaye hata hajui Vitamin ni nini, kuwa professional wa Nutrition ya mtoto hata Dubai utalipwa mamilioni ya Hela,
Mfano Mfanyakazi wa Ufilipino minimum iliowekwa na Serikali yao Dubai analipwa Aed 2500 ambayo ni 1.5m ya kuanzia.
Majority ya Mabilionea wa Kihindi nje ya India Base yao ni Middle East, angalia zaidi Forbes
Top Indian Business Leaders In The Middle East 2021
The business relationship between India and the Arab world goes back centuries. Some gulf countries even used the Indian rupee as currency before they gained independence. Today the Indian diaspora is the largest expat population in the Middle East.www.forbesmiddleeast.com
Kama Middle East sio rahisi Kutoboa nitajie Sehemu nyengine yenye Mabilionea wengi zaidi wahindi.
Si tu Wahindi Warusi, waingereza wataliano na wengine wengi wanakwenda Dubai kwa ajili ya Opportunities, Dubai hawana Mafuta ila Real estate tu inawaingizia zaidi ya Trilioni 100 kwa mwaka,
Immigration Central: Why are so many Indians buying property in Dubai?
As of July, 2022 real estate sales in Dubai touched AED 20.8 billion - up 61.7 percent over the corresponding period last year. Indians were on top of the list of buyers, according to a recent report.www.moneycontrol.com
Hata huku Kwetu Africa viongozi ama matajiri wangapi wamewekeza Ulaya? Kama wapo wachache sana ila MO, Rostam, marehemu Mengi alifariki akiwa makazi yake Dubai, Marehemu Mugabe na wengine kibao waliwekeza vya kutosha huko, kwanini wewe mwenzangu na mimi unafikiri otherwise kuliko watu wenye Experience kukushinda wewe?
Baba mwajuma kilaza mkuu wa jf,mm naongea kitu nilichokiona Kwa macho yangu sio Cha kusikiliza kwenye vijiwe vya kahawa kama wewe!! Nani kakwambia wanaenda Nordic country!??mm nimeishi huko nimeshuhudia!? Wewe wa kibanda umiza kunywa kahawa lala !!Kwa wa shamba kama wewe ndio hili jibu sahihi kwa uwezo ulipoishia, ila hao Diaspora wengi wakifika hizo nchi wanatoka na kwenda nchi ambazo Human index Development ni kubwa kama Nordic countries japo hali ya hewa si nzuri.