Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Tunaanika kwenye tendegu la kitandaCha kushangaza, ataifulia bafuni kisha anakuja kuianika nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaanika kwenye tendegu la kitandaCha kushangaza, ataifulia bafuni kisha anakuja kuianika nje
kumbe shem wewe hufanyagi hivyo?Sio wote
Nafulia njekumbe shem wewe hufanyagi hivyo?
wooh safi, nitakuja nishuhudie siku moja shemelaNafulia nje
Hayawooh safi, nitakuja nishuhudie siku moja shemela
naruhusiwa kuja na zawadi ganiHaya
Safi sn,bibie.Km ni kitu nashindwa kufanya mda naoga ni kufua chupi
Huwa naweka za wiki au siku kadhaa km nna mda naloweka nafua naanika nje zote
Then napiga pasi km nikipata muda
Kunguru huwa wanazibebaga sana ,cjui wanapendea niniNafulia nje na kuanika kwenye kamba tuu kama nguo zingine
Hahahahaha...Kuna mdada nilipanga kwenye nyumba yao alikuwa siku akiamua kufua chupi zake basi siku hiyo hakuna kamba ambayo itakuwa wazi kwa mtu mwingine kuanika nguo
Below 30 unategemea nini hapoMkuu umeshaiita nguo ya ndani sasa ifuliwe na nguo za nje?
sio fungus bali ni tetenas (teh sijui nimeandika sawa)?Wanafulia ndani pia wanaanika ndani duuu hiii shida
nawashauri tuu msiwe mnaanika kwenye nondo za madirisha mtapata fangasi